Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ili mwanamuke aolewe anatakiwa awe na hizi sifa Jitathimini kama unazo 1.Age,2.beauty,3.Character,4.Domination,5,Education,6.Family BackGround,7.Generosity,8.Intelligence, 9.Health,10.Jealous unaweza ukaniuliza swali kama hutazielewa 0766940499
Mkuu unawaza ki 3D
 
Jali maisha unayotengeneza kwa kizazi chako mwanao sio lazim azaliwe ndani ya ndoa kikubwa katoka katika tumbo halisi la kwako mwenyewe inaweza kua msaada sana kwako kwani always kua na mtoto pia ni heshima kubwa unavimba hata mbele ya wenzako atakae kuja baada ya mtot inabidi aheshimu mamraka aliyoyakuta ikiwemo kumtunza mtoto wako kama mwanae wakumzaa hayo ndo maisha yenyewe
 
Wewe na Mh. Samia nani mwenye cheo kikubwa?
Alianza kuolewa akiwa hana cheo kikubwa, hata wanaume anaweza oa mke akiwa na degree 1 lakini akiwa ktk ndoa akajiendeleza mpka PhD watu wakaulizana mtu mwenye elimu kubwa kaoa vipi mke mwenye form 4 fail?
 
Sexless,
Upo jf unaangaika kitu gani tangaza NAFASI ya kumtafuta mume wa ndoa tupo wengi tutajitokeza ushindwe wewe tu kuchagua. I will be the first one to ask for, PM
 
Aisee mbona kama vile wakati wangu umefika. Digidigi anapita mbele yangu kabisa kabisa!
 
1. Unapotoka nje ya mazingira ya kazi usiendelee na ubosi wako

2. Jichanganye kwenye makundi mema baada ya kutoka kazini kama wewe ni mkristo nenda kwenye vyama vya kitume au kwaya.

3.Jitahidi kuwa myenyekevu kwa watu waliokuzidi umri na tabia yako isomeke hadharani kuwa ni njema

4.Usiishi maisha ya juu sana kama kuendesha gari masaa yote kwani neema za wanaume unazikosa saa nyingine unapotembea kwa miguu ndio waoaji wanakuona na kuanza kukufukuzia

5. Usipende kuvaa vitu vya garama saana kwani kuna wanaume wema wataona wakikuoa utawaingiza hasara hata kama ana kipato

6. Epuka sana kuwa wa bandia kama kubadilisha ngozi na kuvaa madude mengi artificial kwani kuna wanaume wengi hutathmini mwanamke aliyebadilisha ngozi kuwa hata tabia yake anaweza kuibadilisha kama kinyonga jinsi apendavyo na ajiamini na uzuri aliopewa na Mungu

7.Usipende kukosoa wanaume hadharani kwani kwa yule unayemkosoa kuna wengine wanakufuatilia kwa siri bila kukuambia na ukiona kitu kidogo tuu gubu la kufa mtu basi na wao wanajitoa kiulaini

8. Epuka sana kufikiria kuolewa na msomi mwenzako ama tajiri bali yeyote utakayempenda na anayekupnda kwa dhati na mwenye tabia njema anaweza kukufaa na mkaishi maisha mazuri na ya amani kuliko msomi mwenzako ambaye kwanza kumpata inakuwa kazi kwani baadhi huoa ambao hawajasoma kwa sababu hushuhudia live vituko vinavyofanyika vyuoni

9. kubali utumwa na kamwe usishawishike na wanaharakati wanataka kuwa sawa na wanaume

10. Kumbuka kuwa katika muungano wowote kila mtu lazima apoteze sehemu ya uhuruwake na kupokea mapungufu ya mwenzake na kuyavumilia. Hivyo usitarajie mtu ambaye yupo pafect kama malaika ndio akuoe utakosa wale ambao uliowakataa kwa kusema sii kiwango chako masi kama bado wapo warudie kwa unjenyekevu laa sivyo "imbombo ngafu""
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
 
Huenda tatizo utakua umelijua kwa comments hizo nyingi (Mstaarabu92@yahoo.com ) niandikie private email unitumie hapo tutashauliana zaidi.
 
Miaka 33 ni age ambayo inafaa usitaafu kuzaa inakuwaje hata ndoa huna?
 
unanukka mdomo ndo maana wanaume hawapend kukaa karibu na ww
 
Back
Top Bottom