KERO Ubovu wa Barabara Masaki eneo la Fitness na Lake Oil

KERO Ubovu wa Barabara Masaki eneo la Fitness na Lake Oil

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
 
Back
Top Bottom