Ubovu wa barabara ya Kitunda Mwanagati

Ubovu wa barabara ya Kitunda Mwanagati

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,738
Reaction score
3,199
TARURA, TANROAD, LATRA, MKUU wa MKOA DSM.

Barabara ya Banana Mpaka kitunda Mwanagati,ni kero nzito kwetu,Wakina Mama waja wazito, Watoto wa Shule,wafanyabiashara na wakazi kwa ujumla.

Kuna km 1 ya Rami imeharibika,ipo kiwango Cha kokoto Sasa zaidi ya miaka mitatu, eneo Makaburini mpaka kitunda Polisi.

Pia Eneo la Mwanagati ambako mabasi hayaji kwaajiri ya dimbwi moja kubwa la maji ambalo lipo zaidi ya miaka nane!

Basi hafiki japo zina leseni za kutoka Mnazi mmoja,Machinga kuja Mwanagati zinaishia kitunda.

Hili tatizo limepandisha Gharama zetu za maisha bila sababu, Please tugawane Keki ya Taifa kwa HAKI na USAWA
 
Back
Top Bottom