Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

Hujui lolote kuhusu siasa za kenya!! Wakati ruto akiwa makamu wa Uhuru si pia na YY alifanya kama anavyo fanya Gachuga tu. Au katiba imekuja mwaka huu 2024?. JIFUNZE KUHUSU KENYA.
 
150. Removal of Deputy President​

1) The Deputy President may be removed from office--

(a) on the ground of physical or mental incapacity to perform the functions of the office; or
(b) on impeachment--

(i) on the ground of a gross violation of a provision of this Constitution or any other law;
(ii) where there are serious reasons to believe that the Deputy President has committed a crime under national or international law; or
(iii) for gross misconduct.

(2) The provisions of Articles 144 and 145 relating to the removal of the President shall apply, with the necessary modifications,to the removal of the Deputy President.

Tayari sahihi za wabunge zimekusanywa na akidi tayari imetimia kuupa nguvu muswada huo binafsi, ambao unapaswa tu kuungwa mkono na zaidi ya robo tatu ya wabunge, kumbandua na kumpeleka msema kweli huyo na mwamba wa Nyeri nyumbani :pulpTRAVOLTA:
Ruto na Kindiki watajua hawajui 😂
 
Wameweka wazi taratibu za kumng'oa madarakani. Vigezo vikitimia wamng'oe tu!
uwezekano ni mkubwa sana, lakini pia ikishindikana, uhasama na fujo serikalini, vita ya kisiasa yenye sura ya kikabila katika uongozi Kenya, itakua mbaya na hatari zaidi 🐒
 
uwezekano ni mkubwa sana, lakini pia ikishindikana, uhasama na fujo serikalini, vita ya kisiasa yenye sura ya kikabila katika uongozi Kenya, itakua mbaya na hatari zaidi 🐒
Umeanza vizuri... Lakini kama wanaccm wenzako mnatanguliza hofu
 
Hujui lolote kuhusu siasa za kenya!! Wakati ruto akiwa makamu wa Uhuru si pia na YY alifanya kama anavyo fanya Gachuga tu. Au katiba imekuja mwaka huu 2024?. JIFUNZE KUHUSU KENYA.
ubovu wa katiba yao ya 2010, ndiyo hasa sababu ya yote haya gentleman, wala hata sio suala la kujua au kutokujua siasa za Kenya ambazo ni dhahiri wana JF walio wengi wana sifahamu vizuri sana 🐒
 
Ingekua ni Yugoslavia, hiyo milolongo yote ya miswada,sijui mahakamani isingekuepo, angekutwa tu kwenye kiroba, mabwepande au katavi
 
Back
Top Bottom