Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

Hujui lolote kuhusu siasa za kenya!! Wakati ruto akiwa makamu wa Uhuru si pia na YY alifanya kama anavyo fanya Gachuga tu. Au katiba imekuja mwaka huu 2024?. JIFUNZE KUHUSU KENYA.
 
Ruto na Kindiki watajua hawajui πŸ˜‚
 
Wameweka wazi taratibu za kumng'oa madarakani. Vigezo vikitimia wamng'oe tu!
uwezekano ni mkubwa sana, lakini pia ikishindikana, uhasama na fujo serikalini, vita ya kisiasa yenye sura ya kikabila katika uongozi Kenya, itakua mbaya na hatari zaidi πŸ’
 
uwezekano ni mkubwa sana, lakini pia ikishindikana, uhasama na fujo serikalini, vita ya kisiasa yenye sura ya kikabila katika uongozi Kenya, itakua mbaya na hatari zaidi πŸ’
Umeanza vizuri... Lakini kama wanaccm wenzako mnatanguliza hofu
 
Hujui lolote kuhusu siasa za kenya!! Wakati ruto akiwa makamu wa Uhuru si pia na YY alifanya kama anavyo fanya Gachuga tu. Au katiba imekuja mwaka huu 2024?. JIFUNZE KUHUSU KENYA.
ubovu wa katiba yao ya 2010, ndiyo hasa sababu ya yote haya gentleman, wala hata sio suala la kujua au kutokujua siasa za Kenya ambazo ni dhahiri wana JF walio wengi wana sifahamu vizuri sana πŸ’
 
Umeanza vizuri... Lakini kama wanaccm wenzako mnatanguliza hofu
nadhani kuhusu suala la wanaccm ni muhimu ikawa ni topic ya wakati mwingine ama nini gentleman?πŸ’
 
Ashukuru hata hivyo mana wangeweza mtafutia event muhimu kugharibu uhai wake
aise,
na jamaa hawashindwi kabisa kudhulumu uhai wa wengine kwaajili ya uongozi, dah πŸ’
 
Ingekua ni Yugoslavia, hiyo milolongo yote ya miswada,sijui mahakamani isingekuepo, angekutwa tu kwenye kiroba, mabwepande au katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…