Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio mazuri mfano katika upande Wa masinki ya kuwanawia maji mengine hayatoi maji na mengine hayapo Kabisa.
Naomba basi hela zinatozwa kupata Huduma hiyo pia zitumike kufanya marekebisho ya vyoo hivyo.