Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio mazuri mfano katika upande Wa masinki ya kuwanawia maji mengine hayatoi maji na mengine hayapo...
Itoshe tu kusema Jiji la Mbeya ni moja ya miji yenye miundombinu duni kabisa Tanzania hii.
Jiji lisilo na mpangilio maalumu, barabara duni, mifereji ya majitaka mibovu na inasababisha kujaa maji hovyo katikati ya maeneo muhimu. Hizi ni picha za eneo muhimu la Kabwe jijini Mbeya, zimepigwa mnamo...
Kipindi hiki cha uchaguzi kama wananchi wanajipambania wenyewe basi ewe diwani au mbunge wa maeneo hayo ukienda kunadi sera zako jiandaee
Wakazi 17,000 wilayani Mbozi wamechanga fedha ili kujijengea daraja baada ya daraja lililopo ambalo limetumika kwa miaka 17 kuharibika na kuhatarisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.