Wakazi Mbozi Wachanga Fedha kujenga daraja jipya baada ya La zamani lililodumu kwa miaka 17 kuharibika

Wakazi Mbozi Wachanga Fedha kujenga daraja jipya baada ya La zamani lililodumu kwa miaka 17 kuharibika

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kipindi hiki cha uchaguzi kama wananchi wanajipambania wenyewe basi ewe diwani au mbunge wa maeneo hayo ukienda kunadi sera zako jiandaee

Wakazi 17,000 wilayani Mbozi wamechanga fedha ili kujijengea daraja baada ya daraja lililopo ambalo limetumika kwa miaka 17 kuharibika na kuhatarisha maisha ya wananchi hao.

 
Wakati huohuo kuna
1. Hela ya goli la mama
2. Kulipa wasanii wa muziki
3. Comedians
N.k

Kule zanzibar ilikuwa imetolewa zaidi ya milioni 200 endapo simba angeshinda.
 
Kiongozi anataka kuharibu mwishoni, pesa wamechanga wananchi, Samia kaingiaje hapo?
 
Back
Top Bottom