msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Inamaana ukiona kitu kibaya usiseme kisa mwenye product atakasirika? Atajirekebishaje sasa??? Mo vinywaji vyake vingi anaiga azam hlf vibaaaayaa...Tuanze na ww umebuni nn kizuri apo ulipo na kikajulikana
unamwalibia mwenzako biashara hujui apo adi TBS wamepitamo, Tanzania tunajua kuponda badala ya kuweka mawazo ili aboreshe nn apunguze nn kwa bidhaa.
Mkuu mimi nikikunywa hiyo Mo Passion aise kooni nilihisi nimemeza mkojo wa punda ni kali kweli kweli sielewi watu wanaipendea nini.Niliwahi kunywa mo passion ya ml_500, niliumwa wiki nzima
Toka hapo niliapa kutotumia bidhaa na vilaji vya huyo kiumbe
Wee n mtazamo wako cema usipende kuaribu biashala za wanaume... Ikiwa kwenu akna history ata ya kiwanda cha ugoroKaka shoe shiner wa mo. Nimegonga ikulu? Pole sana ila huo ndoo ukwe
Mo. Hana ubunifu. Anaajiri cheap labour wasio na ubunifu. Wanaiga kwa uncle Bakhresa halafu hata kuiga hawajuiKwanini MO anapenda kuiga iga kila bidhaa ya Bakhressa ?
Anachokifanya sio kosa kisheria ??Mo. Hana ubunifu. Anaajiri cheap labour wasio na ubunifu. Wanaiga kwa uncle Bakhresa halafu hata kuiga hawajui
Hivi karibuni nimeona kabadili mifuniko ya maji yake kuwa mieusi yaani ipo kiganga ganga.
Maji ya Masafi yapo sokoni muda sasa ila hata wenyewe wameshindwa kujua yapo kwa sababu gani, leo unakuta maji yamefunikwa na mfuniko wa blue, kesho orange keshokutwa mifuniko mieusi unawaza hivi kampuni inafanya majaribio ya urembo wa chupa au ni nini!
Tazama Hill Water wamekuja na bidhaa bomba sana kuanzia kwenye maji yenyewe na vibebeo (chupa) yaani unakuwa comfortable kubeba chupa ya Hill popote kwa namna ilivyo katika umbo zuri na material magumu. Ila Uhai Drinking Water na Masafi Drinking water vibebeo vyao ni hovyo kweli.
Siwezi kuzungumzia bidhaa nyingine za Mo ila kwa biashara ya ushindani na utekaji soko ni wazi Azam anajua anachofanya ila huyu Mo na bidhaa zake kwangu naona ni bidhaa zisizo na ubora KWANGU.
Hajui kupangilia bidhaa zake.
Hahahah unanishaurije mkuu, nisitishe mpango wa kuionja?ππππMo ukwaju ni kama dawa ya ngiri.
Hahahah unanishaurije mkuu, nisitishe mpango wa kuionja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukajua kila mmoja atakupenda?Watanzania siku tukiacha huu ujinga na upuuzi, tunaweza kupiga hatua toka kwenye mkwamo huu tulionao, mtu unaamka kutoka usingizini unawaza kuandika ujinga wakati mwanaume mwenzako anajaribu kufanya kila kilicho kwenye uwezo wake ili kujiongezea utajiri kwa ajiri yake na familia yake. Ngozi nyeusi sijui tuna matatizo gani, mtu anaandika story utafikili ana miliki chochote cha maana!! Eti mtu anajisifu chupa ya maji kubebeka?!! Bado tuna safari ndefu.
dah!!..kweli mkuu mjomba bakhresa katoa apple punch moo kaja na moo apple mule mule..sema anapopigwa goli ni kwamba bidhaa za azam zipo na quality mnooo,,kwanzia ladha na packaging ni international..Mo anasubiri Bakhresa atoe kitu kipya ili na yy aige.