Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Mmetumwa nyie si bure, kuweni waungwana
Sio kutumwa mkuu huo ndio ukweli bidhaa nyingi za Mo hazina quality kuanzia taste ya bidhaa mpk packaging ni rahisi kukuta lebo ya bidhaa ya Mo inaning'inia au ukaona kabisa gundi zile za fundi baiskeli imepakwa kwny lebo and the likes of that binafsi huwa namuangalia Mo km tajiri anaeangalia upande mmoja tu wa profit maximization lkn huwa haangalii quality ya bidhaa yke kuna mambo mengi sn kuhusu u-low quality wa Mo kuanzia bidhaa zke mpk viwanda vynyw vinavyotengeneza hzo bidhaa yn mazingira tu ya viwanda vyake ni machafu mno magari yake ni chakavu ata likiwa lina muonekano wa upya bdo litakuwa ni second hand ukiangalia mishahara anayolipa wafanyakazi ndo utacheka utakuta anatoa tangazo la ajira anakwambia anahtaj mtu mwny bachelor af mshahara 200k hapo nimeingizia tu ili ujue ubabaishaji wa Mo co tu kwny bidhaa bali ni muendelezo wa mambo mengi ktk career yke kwa kifupi Bakhressa amemuacha mbali sn Mo na hilo linathibitishwa na Mo mwnyw kwa njia ya copy and paste.
 
Acha kuharibu biashara za watu, na kwa nini unakunywa soda za watoto kunywa konyagi mkuu
 
Hapa ninachokiona Mo ame target bidhaa zake kwa watu wa hali ya chini hizi product zake maduka ya uswahilini ndio zimejaaa na wanazipenda sababu ya gharama ndogo sio rahisi kuzikuta minisupermarket au maduka yaliyopo kwenye makazi ya watu wenye maisha ya kipato cha kati. Nahisi hata yeye hawezi tumia hizi sabuni na juice nyumbani kwake.
 
Bila shaka wewe ni kibaraka wa azam wacha waitumie hio bidhaa mpya then wataona kama ina mapungufu

Inawezekana una mdomo wa homa

Hahahhahahah
 
Kiukweli moo anajitahidi sana katika bidhaa zake na ninaweza kusema ni best 100%

Au wewe ni meneja wa masoko ya azam
Hahahhahaha
Mmepigwa bao kitu 300

Nyinyi 600

Hahahahaha

Wacha moo alete ushindani
 
Kabisa mkuu
Hiyo MO ni flavoured drink sio ukwaju halisi...
ndo mana hata bei ni kidogo cheap...!!

Ila bakhera kuanzia embe, ukwaju, chungwa na nanasi anakamua mwenyewe just anaongeza CMC tu kwa baadhi ya juice kuifanya juice iwe nzito...
 
Tatizo lingine Watanzania hawasomi contents za vinywaji. Hata label hawasomi. Chukua juice ya Delmonte, Ceres na Azam zote tropical soma contents afu onja. Majibu utapata
 
Jamaa anakopi sana sijui kwanni. Sijawah kuona bidhaa sokon ambayo ni idea yake. Hapo ndio napata jib kwann anaililia sana Simba badala ya kutengeneza timu yake.
 
Hivi aliwahi kutoa bidhaa nzuri hata mara moja?

A wapi hakuna bidhaa ziko chini ya kiwango kabisa ila kwakua ndo billionea wetu TBS wanapitisha tu
Yani kuanzia majuuce yake ni full makemical yakutisha
 
Kiukweli moo anajitahidi sana katika bidhaa zake na ninaweza kusema ni best 100%

Au wewe ni meneja wa masoko ya azam
Hahahhahaha
Mmepigwa bao kitu 300

Nyinyi 600

Hahahahaha

Wacha moo alete ushindani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe sana brother naona umenipa cheo kikubwa sana asante ila ukweli ni kua zinauzika may be kwa watu wa chini sana uko uswazi na ndipo ulipo wewe unaependa bidhaa za bei ya chini zenye quality ndogo ila ukweli ni kua Azam ametake over na nusu ya matumizi yako unatumia bidhaa zake kuliko za tajiri wako Mo.

Ukwaju kiwandani wanauza 250 mtaani unauzwa 500 yaani vijana wanagawana faida na AZAM sasa jiulize asingekua na vijana wa kuuza mtaani angeleta direct kwa wasambazaji bei ingekuaje kama si 300.

Wewe endelea kunywa low quality product uku wengine wakitumia standard quality product
 
acha roho mbaya kama unadhani bidhaa yake ina mapungufu ebu tengeneza yako iliyokamilika....kuna watu mnapenda sana kuzungumza story za vijiweni
 
Wewe na familia yako mna idea gani mliyoitekeleza?
Jamaa anakopi sana sijui kwanni. Sijawah kuona bidhaa sokon ambayo ni idea yake. Hapo ndio napata jib kwann anaililia sana Simba badala ya kutengeneza timu yake.
 
Hahahhahah kama unataka quality tengeneza yakwako
 
Mtaluja kunywa sumu mufeeeeee "like a dog" -(in trump voice)

Kwanza wataalamu wanaochanganya hizo kemikali wametoka udom chenga tupu siku mtawezeka hata herroin au watazidisha caffein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…