Ubovu wa Timu ya Taifa: Tanzania yaporomoka nafasi 11 nafasi za FIFA mwezi Oktoba 2017

Ubovu wa Timu ya Taifa: Tanzania yaporomoka nafasi 11 nafasi za FIFA mwezi Oktoba 2017

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vipya vya soka Duniani vilivyotolewa leo na FIFA.

viwango vya soka.jpg


Viwango hivyo vya ubora kwa timu za Kiume za taifa zimetolewa leo na FIFA. Kumi bora ya viwango hivyo ni kama ifuatavyo;
  1. Germany
  2. Brazil
  3. Portugal
  4. Argentina
  5. Belgium
  6. Poland
  7. France
  8. Spain
  9. Chile
  10. Peru
 
Ningeshangaa sana kama vingepanda maana kwa soka letu sisi bado sana
 
Hivi tatizo ni nini hata big brother siku hizi tunaboronga tu wakati ilikuwa inatufuta machozi
 
Acha tuporomoke huenda tukajifunza wapi tunakosea
 
Back
Top Bottom