Kunguru Mjanja JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 2,046 Reaction score 3,971 Oct 16, 2017 #1 Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vipya vya soka Duniani vilivyotolewa leo na FIFA. Viwango hivyo vya ubora kwa timu za Kiume za taifa zimetolewa leo na FIFA. Kumi bora ya viwango hivyo ni kama ifuatavyo; Germany Brazil Portugal Argentina Belgium Poland France Spain Chile Peru
Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vipya vya soka Duniani vilivyotolewa leo na FIFA. Viwango hivyo vya ubora kwa timu za Kiume za taifa zimetolewa leo na FIFA. Kumi bora ya viwango hivyo ni kama ifuatavyo; Germany Brazil Portugal Argentina Belgium Poland France Spain Chile Peru
Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 860 Reaction score 1,421 Oct 16, 2017 #2 Timu ya taifa ingefutwa tusubir watoto wakue!
za chembe JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 1,064 Reaction score 4,094 Oct 16, 2017 #3 Ningeshangaa sana kama vingepanda maana kwa soka letu sisi bado sana
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Oct 16, 2017 #5 I hope Albiceleste itarudi soon kwenye nafac yake ya kwanza.
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,975 Reaction score 4,266 Oct 16, 2017 #6 Salum Mayanga!
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Oct 16, 2017 #7 Sikio la kufa
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,285 Reaction score 2,969 Oct 16, 2017 #8 Hivi tatizo ni nini hata big brother siku hizi tunaboronga tu wakati ilikuwa inatufuta machozi
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Oct 16, 2017 #9 Acha tuporomoke huenda tukajifunza wapi tunakosea