Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Mambo vip wana Jamiiforums, kama kichwa kinavyojieleza, kwakweli ninaomba ku share nanyi mambo hayo sisi vijana tumekuwa tunazongwa na hayo mambo kiasi kwamba tunadhani tumeimiliki dunia.
Binafsi nimekuwa mtu wa kujiachia sana na huwa siwazi sana katika maeneo ya kujivinjari, lakini kuna jambo linanitatiza kuna upendo napata toka katika maeneo hayo napokwenda mpaka najiuliza ni upendo wa kweli au ni drama tu.
Picha haiusiani na mimi