Ubrazameni, muonekano mzuri na cash

Amani Benson

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
658
Reaction score
1,502
Mambo vip wana Jamiiforums, kama kichwa kinavyojieleza, kwakweli ninaomba ku share nanyi mambo hayo sisi vijana tumekuwa tunazongwa na hayo mambo kiasi kwamba tunadhani tumeimiliki dunia.

Binafsi nimekuwa mtu wa kujiachia sana na huwa siwazi sana katika maeneo ya kujivinjari, lakini kuna jambo linanitatiza kuna upendo napata toka katika maeneo hayo napokwenda mpaka najiuliza ni upendo wa kweli au ni drama tu.

Picha haiusiani na mimi
 

Attachments

  • _20240528_190128.JPG
    122.6 KB · Views: 12
Huyo kwa picha ni wewe? Kwa sasa uko wapi....
 
Huyu Mtoa mada katoka kijiji gani au alidhani humu ni Facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…