Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
- Thread starter
-
- #21
Mkuu ikiwa yangu pia haina shida,,Sasa si ungeweka yako ili tuchangie vizuri.....
Maparachichi yashaiva au msimu bado.
Una deal gani nlitaka kukuomba unitumie mawili ya kula......Mkuu ikiwa yangu pia haina shida,,
Yes maparachichi yapo ila sina deal na maparachichi
Inawezekana mkuu siku hizi kuna upendo wa kinafiki sanaWanakupenda sababu ya cash nadhani subiri cash iishe ndio ujue upendo upo au.......
Mkuu ungetaja na kinywaji mana kunawadau wengi hapa mbeya thanks.Natoa offa, Leo nimetembelea uwanja wa sokoine mbeya kuna mechi. Kama kuna mtu yupo hapa aje tusalimiane nimnunulie hata kinywaji.
Evelyn salt matusi hapana ndugu yangu......Ushauri leo hatuna tuna matusi tu.....
Ushauri utapata kesho leo hamnaEvelyn salt matusi hapana ndugu yangu......
Mmh mkuu deal yangu ni dalaliUna deal gani nlitaka kukuomba unitumie mawili ya kula......
Kumbe ni wewe, umeoa?
Apo sawa boss sasaKisizidi elfu kumi. Sina hela zaidi ya hapo mkuu
Umejikela na nini leo evelyn?Ushauri utapata kesho leo hamna
Mkuu location ndo kipengere wadau tupo mbonaMwisho watano lakini. Sina hela zaidi ya hapo
Kuoa kimchongo ndo aje....Mmh mkuu deal yangu ni dalali
Yes nimeoa kimchongo bossss.
π π π π nimekushinda ujanja kumbe "kimchongo' kwa mimi nimemaanisha sio seriously....Kuoa kimchongo ndo aje....
Hiiii umemuoa kimasihara πΉπ π π π nimekushinda ujanja kumbe "kimchongo' kwa mimi nimemaanisha sio seriously....
Es yes kimasihara kama kula kimasiharaa vileHiiii umemuoa kimasihara πΉ
Nimeazima kwa jirani bro soon narudisha...... Mchunge mke.gari umemuazim nani
Mmh.....Y
Es yes kimasihara kama kula kimasiharaa vile
Ukija dar es salaam ututaarifu piaNatoa offa, Leo nimetembelea uwanja wa sokoine mbeya kuna mechi. Kama kuna mtu yupo hapa aje tusalimiane nimnunulie hata kinywaji.
Noma sana..... πMmh.....
Sema huyu mtoto ni mzuri tumpe maua yakeUshauri leo hatuna tuna matusi tu.....
Kwakweli Dr am real PhdUkija dar es salaam ututaarifu pia