acha ukabila usiwe serious sana na maisha utapoteaArusha City ndo sehemu pekee ambapo wageni wametawala, kwa nini G.Lema & Co. hawaendi kugombea Ubunge kwao walipotoka? Mbona Sugu kaenda kwao Mbeya City? Hata Mbowe kagombea kwao Machame, kwa nini Lema anag’ang’ania Arusha City? Waarusha fanyeni Mapinduzi msiwapigie kura wahamiaji! I
Monaban kakatwa mkia huyo!Joto likiwa limepanda hadi kufikia nyuzi 360 kwa wagombea wanaotajwa kuwania nafasi hiyo, wananchi wa jimbo la Arusha Mjini wanajadili nani anafaa kuwa Mbunge wao.
Wakati hayo yakiwa yaendelea Arusha Mjini, Mbunge wa sasa Godbless Lema naye ametangaza kutetea nafasi yake kupitia Chadema.
Hata hivyo, wataalamu wa masuala ya kisiasa wanadai kwamba mvutano mkali uliopo kwa sasa ni ndani ya CCM kati ya mfanyabiashara mkubwa na aliyejijengea heshima kwa jamii na ndani ya CCM, Philemon Mollel (Monaban), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, anayetajwa kuwa kiongozi Kijana mwenye kasi kubwa na aliyekuwa Meya wa Arusha Kalist Lazaro "chaguo la wakubwa" huyu amejijengea heshima kwa kusimamia miradi ya Serikali akiwa upinzani.
Hata hivyo, Makada hao hadi sasa hakuna aliyejitokeza hadharani kutangaza kuwania nafasi hiyo pengine kwa kuogopa mkono wa Mangula ama Bashiru, wakisubiri kipyenga kupulizwa.
Wengine wanaotajwa kuwania nafasi hiyo ila hawapewi nafasi kubwa ya ushindani ni pamoja na Justine Nyari, Mosses Mwizalubi, Dkt. Batilda Burian, Mustafa Panju, Mwanasheria Edmund Ngemela,Thomas Munis na wengine ambao bado wapo mafichoni wakiwemo wafanyabiashara.
Wakati joto likizidi kupanda nani awe mbunge wa Arusha Mjini, jana Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Arusha imekaa kitako kwa zaidi ya saa 6 ambapo pamoja na mambo mengine, kikao hicho kinadaiwa kumjadili mmoja wa makada wake anayetajwa kuwania nafasi ya ubunge jimboni hapa kuanza rafu mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa kweli ccm imekutoa akili kabisa. Katiba imeruhusu raia mwenye sifa kugombea popote pale ila tu hasivunje sheriaArusha City ndo sehemu pekee ambapo wageni wametawala, kwa nini G.Lema & Co. hawaendi kugombea Ubunge kwao walipotoka? Mbona Sugu kaenda kwao Mbeya City? Hata Mbowe kagombea kwao Machame, kwa nini Lema anag’ang’ania Arusha City? Waarusha fanyeni Mapinduzi msiwapigie kura wahamiaji! I
Arusha City ndo sehemu pekee ambapo wageni wametawala, kwa nini G.Lema & Co. hawaendi kugombea Ubunge kwao walipotoka? Mbona Sugu kaenda kwao Mbeya City? Hata Mbowe kagombea kwao Machame, kwa nini Lema anag’ang’ania Arusha City? Waarusha fanyeni Mapinduzi msiwapigie kura wahamiaji! I
haikuwa.na haja ya kuela mzawa maana utakua umefanya ubaguzi kwa wasio wazawaKuna kijana machachari mzawa Hillary Loishiye amekua akitajwa tajwa sana kuchukua nafasi hiyo maana wazee wote wanaonekana kumshindwa Lema sasa wanampa kijana mwenzake. View attachment 1359161View attachment 1359164
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisimama Mona,na Lowasa asitie mguu baada ya kuwasaliti anaweza kumtoa jasho Lema.Kati ya hao sijaona hata mmoja wa kumtoa Lema hapa Atown.
Kwa akili hizi endelea kuwa CCM tu. Yaani Sugu ana asili ya MBEYA? Alli Keissy ana asili ya Rukwa. Ayesh ni Mfipa? Said Morad ni Mkagulu? Mnyika ni Mzaramo? Kiluswa ni Mmang'ati?Arusha City ndo sehemu pekee ambapo wageni wametawala, kwa nini G.Lema & Co. hawaendi kugombea Ubunge kwao walipotoka? Mbona Sugu kaenda kwao Mbeya City? Hata Mbowe kagombea kwao Machame, kwa nini Lema anag’ang’ania Arusha City? Waarusha fanyeni Mapinduzi msiwapigie kura wahamiaji! I
Wabunge wa Dar wote wahamiaji.Arusha City ndo sehemu pekee ambapo wageni wametawala, kwa nini G.Lema & Co. hawaendi kugombea Ubunge kwao walipotoka? Mbona Sugu kaenda kwao Mbeya City? Hata Mbowe kagombea kwao Machame, kwa nini Lema anag’ang’ania Arusha City? Waarusha fanyeni Mapinduzi msiwapigie kura wahamiaji! I
Bado kuna mfanyabiashara anataka kuacha biashara zake na kwenda kutumikia SIASA? Waulize mashamba ya maua ya LA FLEU DE L'AFRIQUE yako wapi ndiposa wajipime kama mitaji yao waielekeze kwenye kukuza biashara walizo nazo au wawekeze kwenye SIASAJoto likiwa limepanda hadi kufikia nyuzi 360 kwa wagombea wanaotajwa kuwania nafasi hiyo, wananchi wa jimbo la Arusha Mjini wanajadili nani anafaa kuwa Mbunge wao.
Wakati hayo yakiwa yaendelea Arusha Mjini, Mbunge wa sasa Godbless Lema naye ametangaza kutetea nafasi yake kupitia Chadema.
Hata hivyo, wataalamu wa masuala ya kisiasa wanadai kwamba mvutano mkali uliopo kwa sasa ni ndani ya CCM kati ya mfanyabiashara mkubwa na aliyejijengea heshima kwa jamii na ndani ya CCM, Philemon Mollel (Monaban), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, anayetajwa kuwa kiongozi Kijana mwenye kasi kubwa na aliyekuwa Meya wa Arusha Kalist Lazaro "chaguo la wakubwa" huyu amejijengea heshima kwa kusimamia miradi ya Serikali akiwa upinzani.
Hata hivyo, Makada hao hadi sasa hakuna aliyejitokeza hadharani kutangaza kuwania nafasi hiyo pengine kwa kuogopa mkono wa Mangula ama Bashiru, wakisubiri kipyenga kupulizwa.
Wengine wanaotajwa kuwania nafasi hiyo ila hawapewi nafasi kubwa ya ushindani ni pamoja na Justine Nyari, Mosses Mwizalubi, Dkt. Batilda Burian, Mustafa Panju, Mwanasheria Edmund Ngemela,Thomas Munis na wengine ambao bado wapo mafichoni wakiwemo wafanyabiashara.
Wakati joto likizidi kupanda nani awe mbunge wa Arusha Mjini, jana Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Arusha imekaa kitako kwa zaidi ya saa 6 ambapo pamoja na mambo mengine, kikao hicho kinadaiwa kumjadili mmoja wa makada wake anayetajwa kuwania nafasi ya ubunge jimboni hapa kuanza rafu mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi nimetaja neno ,,kabila“ ? Labda wewe ndo mkabila kwa maana ndiye uliyeleta hilo neno.