Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Hukusikia Lissu anawatetea Wazungu waendelee kutuibia madini?
Ila nkikumbuka movie lilivyobadilika eti chadema wanashirikiana na mabeberu kuiba rasilimali zetu huwa sina hamu na siasa za bongo, yaan mmesainisha mikata ya kijinga hii nchi wazungu wakatuibia zaidi ya miongo mitatu afu kirahisi tu mnabadili lugha kuwa chadema wanashirikiana na wazungu kuiba rasilimali zetu, muogopeni hata Mungu jmn. Gesi hati ya zarura ikachukuliwa leo mnajisafisha kirahisi hivyo.