Uchaguzi 2020 Ubunge Arusha Mjini Sabaya atia mguu yumo, Mollel, Kalist na Gambo

Tukiacha unafiki, wivu na ukabila. Sabaya ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana na kule Hai amefanya mambo mengi mazuri..na nimiungoni mwaviongozi waliondana na kasi ya Rais Maghufuli...Na kwa uwezo wake anafaaa apatiwe nafasi zaidi. Tuache wivu za kiafrika,ambazo azijengi.

Kuna wachangiaji wawili hapa wanaukabila sana,hata ukifuatilia mipasho yao kwasababu hawana hoja..angalia hata thread tofauti tofauti wanazochangia...wanaweka uchagga mbele japo ambalo halikubaliki ,wanadiriki kusema mkoa wa Arusha itampata mbunge mchagga.

Je,Arusha ni wachagga ndio wapo ,kuna makabila mengi sana..kuna wamasai,warangi,wasambaa,waarusha,wameru n.k.. wao hawana haki ya kugombea...

Tunahitaji CCM wangalie hili swala kama kuna Rushwa za Kikabila kwa awamu hii iwe mwisho,tumpime mtu kwa uwezo na apatiwe nafasi kwa uwezo.Kuna kabila fulani wakipata hizi nafasi ndio wanaratibu maandamano na machafuko katika mkoa wa Arusha.
 
Bila unafki mkuu Sabaya ni Chaguo sahihi kwetu kama Mwenyezi MUNGU akimpa kibali. Ila tetesi ni kwamba anaenda hapo kwa Nasari...sasa sijui...ila kwa Arusha mjini tungempata..ingekuwa ni goli la kisigino
 
Bora wa Ccm wanaitetea serkali kuliko Chadema wanatetea Mabeberu kuiba raslimali zetu
Mikataba yote ya kifisadi ya madini na maliasili ilisainiwa na nani tena ikipelekwa bungeni kwa hati za dharula? Fastafasta zikipitishwa na walio wengi kwa kura za ndioooo
 
Mpaka Uchaguzi ufanyike na kupata Mbunge kwa baadhi ya majimbo kazi ipo sana.
 
Sabaya yupo ee?Safi sanaaa namuombea heri nyingi kwa mola aaamin aaaamin.
HAYO NDIYO MAMBO BWANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…