Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
Unamaanisha na mimi ninunue uongozi?. No!.Mkuu tafuta pesa ndio ugombee uchaguzi ccm.
Naendelea kusisitiza, sifa ya uongozi ni uzalendo, uwezo wa uongozi na kukidhi vigezo na isiwe pesa!.CCM wanakwenda vizuri maana hata huko Kenya hakuna maskini ameshinda uchaguzi Wala kugombea..
Maskini watakuwa kama Magufuli wataharibu kila kitu na kujisifu kwa wajinga na cheap politics.
Tuna Imani na mwenye pesa sio kununua uongozi..Unamaanisha na mimi ninunue uongozi?. No!.
Mimi ni muumini wa ukweli na uwazi, siamini katika wanunua uongozi kwa pesa!.
Pesa tuu zenyewe za fomu, nimefanya kuchangiwa na wana JF!.
Naendelea kusisitiza, sifa ya uongozi ni uzalendo, uwezo wa uongozi na kukidhi vigezo na isiwe pesa!.
P
Paskali nakusoma ila kilicho dhahiri ni kwamba CCM huijui vizuri na pia "rules of the game" huzijui!Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu ya kuombea uongozi, kuanzia 100,000, 500,000, 1,000,000 hadi 5,000,000 kwa baadhi ya nafasi!, hivyo kama wewe ni lile kundi la akina "pangu pakavu", hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.
Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi, kati ya hizo nafasi 6 ni za CCM, 3 za upinzani.
Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.
Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.
Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!.
Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.
Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.
Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ili kusaidia nchi yangu.
Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.
Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.
Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.
Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.
- Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
- Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Unaionaje ushauri huu?.
Karibuni.
Paskali.
Hahahhahaa imebidi tu nicheke...umeamua umchane tu ukweli....paskali mdomo ndio unaomsumbua...unadhani magufuli alivyokuwa anatafuta public figures walio royal kwake, paskali wasingemchukua? Kama kabudi alichukuliwa, iweje paskali? Aliachwa na ndugu yake kisa mdomoPaskali nakusoma ila kilicho dhahiri ni kwamba CCM huijui vizuri na pia "rules of the game" huzijui!
Unachofanya kwenye maandishi yako toka mchakato wa kuchukua fomu ni kama umeingia kutafuta habari lakini si kushindana ili kupata nafasi hiyo!
Ushauri unaotoa ni sawa na Mwanafunzi anayejitungia Mtihani na kuufanya na kumtaka Mwalimu wake ampasishe!
Sikukatishi tamaa ila naona kwa strategy zako na namna unavyo vibrate Mimi naona umeshashindwa hata kabla game haijaanza!
Ninachosubiria kutoka kwako ni kilio kireeeefu katika Makala zako baada ya zoezi hili kukamilika.
HAUKO OBJECTIVE !
Mwisho ni kwamba Paskali wengi humu ni mediocres hawawezi kukushauri na kuku-mentor kwa ajili ya ku- aspire political posts kama hizo, mwishowe utakuwa tu permanent loser!
Kiukweli ni kwamba Paskali Mayalla wewe ni msomi lakini bado kuna ka ushamba fulani ka kisukuma bado kana ku- pull backward!
Kwa summary ni kwamba wewe Paskali Mayalla ni clever but not intelligent!
Nafasi za siasa zinataka watu intelligent na si watu clever!
Mkuu Fumadilu Kalimanzila, kwanza asante, nikushukuru Kwa kunieleza ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe, mtu ni mwanachama wa CCM, umezaliwa CCM, umekulia CCM, ukajidhania unaijua CCM, akitokea mtu akakuambia huijui CCM, ina maanisha mimi ni mtu niliyejidhania nijajua, kumbe in reality ni sijui kitu!. Akitokea mtu akakuambia hujui, muombe awe Mwalimu wako akufundishe ili sasa ujue, hivyo Mkuu Fumadilu Kalimanzila, nakuomba uwe mwalimu wangu kwenye hili.Paskali nakusoma ila kilicho dhahiri ni kwamba CCM huijui vizuri na pia "rules of the game" huzijui!.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, nilipojaribu Kawe, I was not serious, but I got some lessons on how dirty games people play to get elected, I decided to try but clean, simjui mtu yoyote, simtafuti godfather yoyote, na sitoi senti tano kwa yeyote, kwasababu I believe in me kuwa CV yangu, experience na exposure itanibeba, lakini kama nitajinjwa kwasababu ndani ya hao 186, mimi naweza kuwa ni sawa na sisimizi, I'll do nothing to push na kujiandaa kupokea matokeo.Unachofanya kwenye maandishi yako toka mchakato wa kuchukua fomu ni kama umeingia kutafuta habari lakini si kushindana ili kupata nafasi hiyo!
Duh...!Ushauri unaotoa ni sawa na Mwanafunzi anayejitungia Mtihani na kuufanya na kumtaka Mwalimu wake ampasishe!
Asante pia kwa taarifa hii maana huku ni kuniandaa kisaikolojia kuyakubali matokeo, hivyo whatever the outcome will be, the impact won't be devastating kuliko ningeendelea kuwa na the great expectations halafu nikala mweleka nitakuwa na great despair.Sikukatishi tamaa ila naona kwa strategy zako na namna unavyo vibrate Mimi naona umeshashindwa hata kabla game haijaanza!
It's expected nikikatwa I'll make lot's of noises!. I won't!. Uchaguzi ni Bunge la November, hivyo between now and November, I'll shout, and shout and shout ili wakituteulia makorocho, tutasema ni makorocho!.Ninachosubiria kutoka kwako ni kilio kireeeefu katika Makala zako baada ya zoezi hili kukamilika.
HAUKO OBJECTIVE !
Duh...!.Mwisho ni kwamba Paskali wengi humu ni mediocres hawawezi kukushauri na kuku-mentor kwa ajili ya ku- aspire political posts kama hizo, mwishowe utakuwa tu permanent loser!.
Hii ni kweli, kiukweli sijui ni kwanini sisi Wasukuma tunakuwaga washamba!.Kiukweli ni kwamba Paskali Mayalla wewe ni msomi lakini bado kuna ka ushamba fulani ka kisukuma bado kana ku- pull backward!.
Asante kwa kuniambia udhaifu huu na naomba unifundishe tofauti ya mtu clever na intelligent. Baada ya kusoma Iliboru na kupata LL.B Hons, UDSM, nilijihesabu intelligent kumbe ni clever tuu and not intelligent!. Nifanye nini niwe intelligent nifanikiwe?.Kwa summary ni kwamba wewe Paskali Mayalla ni clever but not intelligent!
Nafasi za siasa zinataka watu intelligent na si watu clever!
Duh...!. Kiukweli nasali sana Mungu anifundishe kunyamaza!, kiukweli mdomo umeisha niponza kwa mengi, kitu kizuri kuhusu mdomo wangu ni unasema kweli tupu!, hivyo ukihukumiwa kwa kuusema ukweli mchungu, siku zote mwisho wa siku Mungu huwa anakufidia.Hahahhahaa imebidi tu nicheke...umeamua umchane tu ukweli....paskali mdomo ndio unaomsumbua...unadhani magufuli alivyokuwa anatafuta public figures walio royal kwake, paskali wasingemchukua? Kama kabudi alichukuliwa, iweje paskali? Aliachwa na ndugu yake kisa mdomo
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu Paskali Mayalla kwanza nikupongeze kwa uungwana wako!Mkuu Fumadilu Kalimanzila, kwanza asante, nikushukuru Kwa kunieleza ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe, mtu ni mwanachama wa CCM, umezaliwa CCM, umekulia CCM, ukajidhania unaijua CCM, akitokea mtu akakuambia huijui CCM, ina maanisha mimi ni mtu niliyejidhania nijajua, kumbe in reality ni sijui kitu!. Akitokea mtu akakuambia hujui, muombe awe Mwalimu wako akufundishe ili sasa ujue, hivyo Mkuu Fumadilu Kalimanzila, nakuomba uwe mwalimu wangu kwenye hili.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, nilipojaribu Kawe, I was not serious, but I got some lessons on how dirty games people play to get elected, I decided to try but clean, simjui mtu yoyote, simtafuti godfather yoyote, na sitoi senti tano kwa yeyote, kwasababu I believe in me kuwa CV yangu, experience na exposure itanibeba, lakini kama nitajinjwa kwasababu ndani ya hao 186, mimi naweza kuwa ni sawa na sisimizi, I'll do nothing to push na kujiandaa kupokea matokeo.
Duh...!
Asante pia kwa taarifa hii maana huku ni kuniandaa kisaikolojia kuyakubali matokeo, hivyo whatever the outcome will be, the impact won't be devastating kuliko ningeendelea kuwa na the great expectations halafu nikala mweleka nitakuwa na great despair.
It's expected nikikatwa I'll make lot's of noises!. I won't!. Uchaguzi ni Bunge la November, hivyo between now and November, I'll shout, and shout and shout ili wakituteulia makorocho, tutasema ni makorocho!.
Duh...!.
Hii ni kweli, kiukweli sijui ni kwanini sisi Wasukuma tunakuwaga washamba!.
Asante kwa kuniambia udhaifu huu na naomba unifundishe tofauti ya mtu clever na intelligent. Baada ya kusoma Iliboru na kupata LL.B Hons, UDSM, nilijihesabu intelligent kumbe ni clever tuu and not intelligent!. Nifanye nini niwe intelligent nifanikiwe?.
P
Wewe ni mzalendo?Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu ya kuombea uongozi, kuanzia 100,000, 500,000, 1,000,000 hadi 5,000,000 kwa baadhi ya nafasi!, hivyo kama wewe ni lile kundi la akina "pangu pakavu", hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.
Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi, kati ya hizo nafasi 6 ni za CCM, 3 za upinzani.
Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.
Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.
Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!.
Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.
Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.
Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ili kusaidia nchi yangu.
Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.
Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.
Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.
Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.
- Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
- Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Unaionaje ushauri huu?.
Karibuni.
Paskali.
Kwa hiyo ni kama hujui mtindo wa chama chako ama?Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.

Mkuu MKANDAHARI , hili sasa ndio swali gani?!. Mtu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili na uzalendo wake unafahamika wazi, sio wakutafuta kwa tochi!, unaonekana ,wazi na unajulikana wazi wazi kabisa sio wa kutafuta au wa kumulika kwa tochi, ili uonekane, unamuulizaje kama ni Mzalendo?!. Au umeuliza tuu ili niseme mimi ni Mzalendo na uzalendo wangu ni huu...?.Wewe ni mzalendo?
Pambana ndugu, kupita hapo inahitaji juhudi haswaKwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi, kati ya hizo nafasi 6 ni za CCM, 3 za upinzani.
Paskali una mkosi sana. Kila unapogusa sasa pananuka. Sasa umegeukia huku. Sawa ngoja tuoneKuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu ya kuombea uongozi, kuanzia 100,000, 500,000, 1,000,000 hadi 5,000,000 kwa baadhi ya nafasi!, hivyo kama wewe ni lile kundi la akina "pangu pakavu", hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.
Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi, kati ya hizo nafasi 6 ni za CCM, 3 za upinzani.
Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.
Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.
Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!.
Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.
Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.
Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ili kusaidia nchi yangu.
Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.
Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.
Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.
Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.
- Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
- Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Unaionaje ushauri huu?.
Karibuni.
Paskali.
Wapi na wapi niligusa pakanuka?.Paskali una mkosi sana. Kila unapogusa sasa pananuka. Sasa umegeukia huku. Sawa ngoja tuone
Sisiemu hakujawahi kuwa na Mzalendo, Mwalimu mwenyewe alisigina hilo, dhambi ya usaliti dhidi ya wazee wapigania uhuru idumu mileleKuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu ya kuombea uongozi, kuanzia 100,000, 500,000, 1,000,000 hadi 5,000,000 kwa baadhi ya nafasi!, hivyo kama wewe ni lile kundi la akina "pangu pakavu", hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.
Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 186 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi, kati ya hizo nafasi 6 ni za CCM, 3 za upinzani.
Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu CCM, na nchi yangu Tanzania, kwa swali moja muhimu, kwenye uongozi wa umma, jee turudishe mtindo wa kwanza kuwatafuta wazalendo wa kweli wa nchi hii, ndipo kisha tuangalie sifa na vigezo, wakikidhi vyote viwili ndipo wateuliwe kwenye uongozi wa umma.
Sifa kuu ya kwanza iwe ni uzalendo, na uwezo hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.
Bandiko hili ni bandiko elimishi la kukisaidia chama changu jinsi ya kupata competent people kukiwezesha chama kuwatambua hao competent people na kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na hata ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako ipone hivyo unakuwa umeifia nchi yako.
Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni "Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?" Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana kidhi sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa a track record ameishawahi kufanya nini?.
Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio sasa zije sifa na vigezo, akikidhi, atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ni bilionea na ana ukwasi mkubwa!.
Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.
Nikijitolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia sana taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.
Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi na kusema "kuendelea kuumia basi!", nimeamua kujitosa ili kwenda kuisaidia nchi yangu.
Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwandishi wa habari na mtangazaji mwandamizi, mwanasheria, na wakili wa kujitegemea, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.
Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa
kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.
Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.
Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia debe, kwasababu humo ndani ya huo utitiri wa watu 186, namimi humo, nimo!.
- Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea kwa awamu yaa ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndio wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, tuwarudishe, na wale mabubu, tuwashukuru kwa uwakilishi wao kwa kuwaambia asante, tuwapumzishe!. Baada ya kuiingiza DRC ndani ya EAC na ujio wa AfCFTA, hizi sio zama za Tanzania kuwakilishwa na mtu ili mradi ni mtu, we real need competent people kutuwakilisha.
- Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja atakiwe kupeleke a write up hata ya page 1, yenye ku set ajenda za Tanzania kama nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Unaionaje ushauri huu?.
Karibuni.
Paskali.
Mkuu Proved , mimi ni muumini, naamini viongozi wazuri huletwa na Mungu na wala sio juhudi binafsi au kupambana!.Pambana ndugu, kupita hapo inahitaji juhudi haswa
Mkuu Akasankara, naomba usinivimbishe kichwa bure, kiukweli I'm not clever, mimi ni mtu mwenye akili ya average, sijawahi kupata divisheni 1 hata mara moja.Paschal Mayala ni Clever person!
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.

KaribuWananchi wanatakiwa kulinda mikataba, katiba na siyo kuwaachia wanasiasa wenye nguvu za mamlaka kuvunja mikataba n.k
Tukiwaachia wabunge, mawaziri na marais wetu watuamulie au kubadilisha mikataba kama ya EAC bila kushirikisha raia wote kupitia referendum basi Jumuiya ya Afrika ya Mashariki EAC inaweza kufa kirahisi.
Tusifanye Jumuiya hizi za Kikanda kuwa ni klabu za urafiki binafsi wa marais.
WaTanzania pia wanatakiwa wadai kujua wabunge wao waliopo EALA wanachangia mawazo ya kivipi kwa wabunge wa Tanzania waliopo Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaani EALA hawasikiki wala kuonekana michango yao iwe imeandikwa ktk magazeti au kurushwa ktk vituo vya,televisheni na mitandao.
Tofauti wa wabunge EALA wa nchi zingine kama Uganda na Kenya wao wapo active sana kwa kutoa mawazo na kuhojiwa hivyo wananchi wa nchi zao wanauelewa mpana wa Jumuiya ya EAC na fursa zake kibao.
Au pengine wabunge wa upande wetu Tanzania wasailiwe kwa kina uwezo wao wa kumanya na kutetea hoja kwa lugha ya kigeni. Hii iwe kigezo mojawapo muhimu ktk kuchaguliwa ili wakienda bunge la EALA wasiwe mabubu, nashauri kuomba kura kwa dakika moja mbele ya bunge la Muungano la Tanzania pale Dodoma ili wamchague kwenda bunge la EALA muda huo wa kuomba kura usitiwe maanani kabisa, bali wafuatilie kwa upana iwe clips za video YouTube n.k wapi wamemuona muombaji ubunge EALA ameweza kuongea kwa hoja nzito na ushawishi mkubwa kwa kutumia lugha ya kiingereza kwa zaidi ya dakika 30 na kama kuna maandiko yoyote aliyoyafanya kwa lugha ya kiingereza baada ya kumaliza chuo kikuu au elimu ya juu, digrii pekee yake au master's degree na PhD isiwe kigezo pekee bali baada ya kuhitimu tumemuona wapi akiongea mambo mazito na nyeti au kuandika makala kadhaa mfululizo kwa kutumia lugha ya kiingereza.
KabisaJambo la kwanza wanaloangalia wanaccm ni hela , labda kama wewe ni mgeni nchi hii