Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Mbona nyie wakurugenzi wenu wamewapitisha wagombea wenu kuwa washindi?Hilo hulioni?baadhi ya majimbo mnajinasibu kupita bila kupingwa au Makuke kwa nguruwe? Muosha huoshwa tulieni dawa iwaingie
Mwenye mamlaka ya kutangaza mtu aliyepita bila ya kupigwa si mkurugenzi ni NEC tu . Sasa taarifa za kusema mkurugenzi kasema mtu kapita bila ya kupigwa ni ujinga tu sheria inamtambua mkurugenzi kuwa ni msimamisi wa uchaguzi kwa niaba ya NEC na mtangaza matokeo ya ngazi ya udiwani na ubunge kwa niaba ya NEC kwa taarifa nilizonazo ni kuwa uchaguzi bado

Kingine sheria inasema mapingamizi ni masaa 24 toka mgombea aneteuliwa na NEC kugombea so kuanzia jana saa 10 jioni mpk leo saa 10 jioni ndo mwisho wa muda wa mapingamizi.
 
Ila kajuaje kama kakosea? Aliiona wapi form ya huyu prof wa sociology ?
Hili swali Ukijibiwa vizuri pia nitakuwa nimepata jibu fulani maana kuna mtu leo katupia WhatsApp fomu ya Mgombea iliyokosewa.Na aliyetupia sio mgombea sasa cha kujiuliza kajuaje?
 
Hili swali Ukijibiwa vizuri pia nitakuwa nimepata jibu fulani maana kuna mtu leo katupia WhatsApp fomu ya Mgombea iliyokosewa.Na aliyetupia sio mgombea sasa cha kujiuliza kajuaje?
Nimeshapata jibu.Form zinabandikwa kumbe.
 
Maprofesa wenyewe ndo hao kina Kabudu wa jalalani??

Nitafanya doctorate yangu mwakani niishie hapo hapo, uprofesa ubaki kwa wenye macho makubwa
Hahahahahaha aisee we jamaa, unampigaje mwenzako puani
 
Back
Top Bottom