thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Labda Urais wa Wasaka Tonge na Mamluki ataupataZitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.