Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Chai ya moto bila kitafunwa.....lakini hata Amber Rutty amesema atagombea kule aliko msukuma
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
 
Watanzania bwana,hivi hao wazee wana kura ngapi za kumpa mgombea ushindi? Ingekuwa wana kura nyingi vipi wazee wa Dar walikubalije wapinzani washinde? Hakuna cha wazee wala nini wazee wa nchi nzima hawafiki hata mil.2
 
Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
Ukiwajaza bungeni watu kama wakina Diamond,Shilole,Harmonize,Prof J inakua vzr zaidi maana hao elimu kwao ni majanga so tukileta miswaada hakuna kipangamizi tofauti na ukijaza bunge la watu wa dizaini ya Lissu-Walisikika wana CCM wakijadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Zitto kabwe hawezi shindwa ubunge Kigoma,labda sio hii Kigoma yetu, Zitto ndio mgombea ambae akigombea jimbo lolote la Kigoma anashinda.
 
Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
Umeniwahi nilitaka kusema hayo hayo Diamond kwa mwaka anaweza tengeneza ata sh billioni moja ubunge ye aufanyie nini zaidi ya kumpotezea muda.
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Kwahiyo mkuu unamaana wanaoishi Kigoma wameliwa nafunza?.Acha dharau kiongozi chuki yako kwa Zitto kabwe isisababishe uwachukie wanakigoma wote.
 
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Maneno ya mwisho umeniwahi
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Vipi kuhusu watunga sheria za vijiji na mitaa ambao hawawezi ata kujaza fomu zao kwa ufasaha?
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Unafurahia a Sana mkuu, ulipaswa kuprotest wakati Prof J anatia nia, wakati Sugu a.k.a Moto chini anatia nia. Ha ha ha ha kwakuwa Hawa wqlipitia upinzani it was okey kwako. And it could still the same Kama Harmonise na Diamond wangetia nia kupitia upinzani, naamini hili povu lako lisingetoka. Tatzo ni kwa vile hawa wanataka kupitia upande ambao huupendi. Kama ni hivyo demockraksia kwako maana yake nini.Tofauti ya Sugu na Diamond ni ipi!? Acha Demockraksia ichukue mkondo wake, let the voters decide si ndo hicho mnalilia kila siku, Uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa. Ha ha ha ha ha Madicteta wa jamii forum mnafuhisha sana. Kwenu Demokrasia ni kukubaliana na misimamo yenu, anaueenda tofauti ni msaliti na hana akiri, nyie ndo mna akiri nyie mna Demokrasia, ha ha ha ha ha. You are so amazing baddy! Huko hifadhini sijui mnaishije na mnaelewanaje!?
 
Back
Top Bottom