Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Nilivyoona tu kuwa zitto kahamishia harakati zake twitter nikajua haya sio maoni ya wazee bali ni maoni ya vijana wa huko twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongea kutokana na watanzania walivyo,watanzania wanavote kutokana na mahaba kwa mtu ,na sio mtu atawafanyia nini?Yaani umaarufu kwa Tanzania unaweza msaidia msanii kugombea nafasi za siasa na akashinda.
Huku Tz tunachelewa but nchizingine Africa na mashariki wanamuziki wanajiandaa kugombea urais
 
Ccm kimetoka kuwa chama cha siasa nakuwa zoa zoa maana hakuna hata haja ya kupiga kura kuwachagua wabunge wao
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubunge umekuwa sio uwakilishi tena
 
Huku Tz tunachelewa but nchizingine Africa na mashariki wanamuziki wanajiandaa kugombea urais
Ndo uone waafrica akili zetu na perception zetu zinafanana.Sasa Diamond eti Rais and believe me hapa Tanzania inawezekana kabisa.Tena Mond akitaka kugombea ubunge Kigoma anashinda asubuhi kabisa.
 
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Aliona kama yeye aliweza na baadae akasukumiziwa kwanini mmakonde ashindwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
MTU akisema hawa watu wanamawazo ya kipumbavu wana lalama, katika umasikini huu eti unaondoa akili bungeni ili uweke viuno? Pambaf kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu dogo atatumiwa lama "mundoko" na kutupwa jalalani na kurudi kuwa chokoraa wa Tandale kama zamani!!
 
Back
Top Bottom