Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Usidharau watu mkuu, Profesa Jay yupo mjengoni tangu 2015.
 
Ndo uone waafrica akili zetu na perception zetu zinafanana.Sasa Diamond eti Rais and believe me hapa Tanzania inawezekana kabisa.Tena Mond akitaka kugombea ubunge Kigoma anashinda asubuhi kabisa.

hao wananchi unawachukuliaje? sio kila mtu ni mjinga kama nyumbu wa CCM
 
Pamoja na kwamba sikubaliani na huo upuuzi lkn nisaidie kujua kazi ya Sugu na Lema kule bungeni
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee gani wanajua hadi twita kama siyo magu? Nasikia Chid Benz nae anatafutiwa jimbo.
 
habari za kusadikika hizoo coz diamond anaingiza hela nyingi kwenye muziki kuliko hao wanasiasa wenu pia kama umaarufu kwenye mziki waulize wanigeria

kwani ulisikia wapi kuwa wanasiasa wana hela? ukimuona mwanasiasa ana hela ni mwizi wa mali za umma au chama tu.
 
Kumbe hilo mnalijua fika kuwa watu wote hatuwezi kuipenda ccm, sasa inakuwaje mnatuona kama siyo watanzania sisi tusiyo ipenda ccm?
Hiyo tathmini yako ni dhaifu
Tatizo lenu ni mabingwa wa kudai demokrasia na uhuru wa kujieleza,lakin mnakuwa nanodngwa watu wakifungamana na ccm
Ni vigumu sana watu wote tukapenda chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania jamani tunakwama wapi burudani ndo tnazipa kipaumbele na kutaka bora kiongozi badala ya kiongozi Bora na mfano kwa jamii. Mhhhh maybe??????
 
Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma akaliwe funza?

Eti Diamond awe mbunge kwenda kutunga sheria zenye manufaa kwa taifa

What shame..

Ndio maana nchi imedumaa hivi kukata viuno na kutunga sheria wapi na wapi?
Bunge la sasa lina wabunge wawili wanamuziki. Ubora wa utendaji wao bungeni na kwenye majimbo yao umedhihirika na kuna uwezekano wa kurejea bungeni 2020. Kwa hiyo Diamond hataakuwa mbunge wa kwanza na waliomtangulia wameitendea haki tasnia ya sanaa ya muziki.
 
Bunge la sasa lina wabunge wawili wanamuziki. Ubora wa utendaji wao bungeni na kwenye majimbo yao umedhihirika na kuna uwezekano wa kurejea bungeni. Kwa hiyo Diamond hatakywa wa kwanza na waliomtangulia wameitendea haki tasnia ya sanaa ya muziki.
Sugu amekuwa akiimbaa miziki yenye ujumbe
Prof hivyo hivyo
Sasa diamond na konde wanaimba nini zaidi ya kusema Inama nkuchomeke.....Blh Blh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za watanzania,Diamond hata akigombea Urais anashinda.Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.

Sio atashinda, bali atatangazwa mshindi kwa amri ya rais, sasa kama malalamiko ni kuwa Zitto kahamia Dar na kushinda twitter, je Diamondi ndio atakaa huko Kigoma? Je kuna msanii hatumii mitandao ya kijamii? Au kwakuwa lengo la bunge lijalo ni kumuongezea jiwe muda wa kukaa madarakani, hivyo anapanga mitume wake?
 
Hamkosi kulalamika! Watz wamewachoka kubalini tu!
 
Mnaumwa nyinyi si bure..kwa nini siyo kinondoni anakoishi, mmeona watu wa Igunga ni hamnazo hadi shilole ndio awe mbunge, ccm au ataanzisha chama chake?

Kwani sasa hivi wananchi wanachagua viongozi au wanaletewa viongozi?
 
Back
Top Bottom