Kama Chadema walivyoletewa Mwenyekiti.Kwani sasa hivi wananchi wanachagua viongozi au wanaletewa viongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Chadema walivyoletewa Mwenyekiti.Kwani sasa hivi wananchi wanachagua viongozi au wanaletewa viongozi?
Unaweza ukatuthibitishia kwamba Sugu na Prof. Jay umaarufu wao umeshuka? Kama haujashuka, kwanini wa Diamond ushuke?Diamond siasa zitamporomosha!
Anaotaka kuwanufaisha kisiasa kwa kutumia umaarufu wake ni watu wasiokubalika na watanzania wengi hivyo awe makini
Hamkosi kulalamika! Watz wamewachoka kubalini tu!
Nimekaa Kigoma wiki tu jana nimetolewa funza mkubwa kweli[emoji23][emoji23]Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma zaidi kuliko Zitto?
Hahahaha nani akaliwe funza?
Kama Chadema walivyoletewa Mwenyekiti.
Hapana hizo ni kazi za walioingia darasani mimi sikupata bahati hiyo.
Hapana mimi nipo huku kwetu Kwamtogole.Dah dada kumbe upo kwa mama Msuka Nywele !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilitegemea jibu kama hilo!Kamtoe. Uchaguzi cdm ulifanyika na tuliona ulifanyika kwa amani wala hatukuona mabox ya kura yakitolewa vituoni kwenda kujaza kura za huyo Mbowe. Mimi sio muumini wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm maana muda wake umepita, ila alishinda kwa kura zisizotia shaka.
Wakata viuno ndio wawe decision maker🤣🤣Hilo bunge 2020, Harmonise, Diamond na bado Shilole .
Kwa hiyo Igunga wataletewa shilole.. Acheni dhihakaKwani sasa hivi wananchi wanachagua viongozi au wanaletewa viongozi?
sasa kwenye siasa anafata nini sababu yeye anapenda pesa na sifakwani ulisikia wapi kuwa wanasiasa wana hela? ukimuona mwanasiasa ana hela ni mwizi wa mali za umma au chama tu.