Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Kwanza polisi walikua wapi muda huo? wakileta uonevu tu,sisi na wao.to hell with them!
Ben,
Heshima yako mkuu.
Polisi it is very obvious wamo mikononi mwa mtu.Kuna jamaa kauliza swali hapo juu,polisi walikua wapi mafisadi yalipokua yanaiba fweza BOT?Nchi imeuziwa wahindi na waarabu huku watanganyika hawana chao.Anapotokea mtu anayehamasisha mawazo ya watu, wanasema eti anachochea vurugu ...iiiisssshhhh!!!
Ninavyomfahamu Zitto mie, I just can't see him burning T-shirts.Yaani
hii sijui ni wapi kwa wapi.