Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Kwanza polisi walikua wapi muda huo? wakileta uonevu tu,sisi na wao.to hell with them!
Tawire mkuu mwerevu wewe na Chadema yako.....
Masatu mkuu umekuwaje siku hizi mkuu ? Au kuna mtu kaiba password yako ? Masatu wa JF ambaye tumekuwa tunabishana kwa hoja hapa ni wewe ?
Masatu mkuu umekuwaje siku hizi mkuu ? Au kuna mtu kaiba password yako ? Masatu wa JF ambaye tumekuwa tunabishana kwa hoja hapa ni wewe ?
Jamani, lililoandika ni Alasiri, si tunalifahamu vizuri gazeti hili. People should not be carried away
Ngoja na sisi familia ya KOLIMBA tujikusanye na twende kwenye vyombo vya habari kudai TUME HURU ya kuchunguza utata wa kifo cha baba yetu dhidi ya wauwaji CCM
Lisemwalo lipo kama halipo laja, Tarime hali si shwali mimi mwenyewe nataka kukimbia mji huu
Tawire mkuu mwerevu wewe na Chadema yako.....
The beginning of the end for Zitto Kabwe... very sad indeed...
I would like to afford MP Zitto the benefit of doubt and a chance to put his story straight to the people through JF.
The story rings rather politically motivated.
Unaweza kusema sababu ya kukufanya ukimbie ?
Nakimbia ili nisije nikajikuta kwenye ushabiki wa kisiasa maana sipendi siasa.
Si shwari kivipi ?Sikiliza redio au soma gazeti Tanzania daima lenye kichwa cha habari kuwa tarime yachafuka
Masatu Wasira tangia umekuwa kwenye payrol ya Rostam naona hata kufikiri kidogo huwezi, get into your nerves bro....
Siku hizi JF tumekuwa wapiga ramli, yaani mtu unaweza kutoa tuhuma kubwa kiasi hicho dhidi ya mwanachama mwingine bila hata kujaribu kutoa ushahidi japo kidogo? Hiki ni kiwango cha chini mno!
kama vile fisi asivyoacha kuombea mkono wa mtu uanguke, vivyo hivyo waota njozi, haweshi kuota
tehe tehe tehe.... ushabiki at its best.
Siku hizi JF tumekuwa wapiga ramli, yaani mtu unaweza kutoa tuhuma kubwa kiasi hicho dhidi ya mwanachama mwingine bila hata kujaribu kutoa ushahidi japo kidogo? Hiki ni kiwango cha chini mno!