..msekwa ni msomi zaidi ya mwanasiasa...ni mzuri sana kwenye warsha na mijadala ya kisomi,hajui lugha ya mwananchi wa kawaida.....not a politician!!
makamba ni msanii au mchekeshaji zaidi kuliiko mwanasiasa....angefaa zaidi kwenye idara ya propaganda na uenezi..kuliko ukatibu mkuu....ambao unahitaji mtu makini......msekwa angefaa ukatibu mkuu zaidi ya makamba...na afteral wakati wa mwalimu alifanya kazi ya KATIBU MTENDAJI ..TANU na baadaye CCM vizuri tu!
Sorry!!
Kidding !!wajamani ni kuwapinda tu presha watu si kweli.
Mahali kwa kuwaangalia CCM ni hizo kata za vijijini. Itakuwa ngumu sana CCM kushinda Tarime mjini, ila huko vijijini kwa wakulima ndiko wanakochota kura zao.
Mimi naamini CHADEMA wameshinda udiwani, kwenye ubunge huko ndiko kutakuwa na mapambano.
Mahali kwa kuwaangalia CCM ni hizo kata za vijijini. Itakuwa ngumu sana CCM kushinda Tarime mjini, ila huko vijijini kwa wakulima ndiko wanakochota kura zao.
Mimi naamini CHADEMA wameshinda udiwani, kwenye ubunge huko ndiko kutakuwa na mapambano.
Mkuu kuna watu wanamagonjwa ya moyo!! shauri yako
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?
Wagombea walijirusha na Helkopta sasa kura zinaletwa kwa miguu. Wasije wakalalamika zikichelewa maana wangezitumia hizo barabara sio ajabu wangeshauri Helikopta zitumike kukusanya masanduku ya 'kula'.
Hapo pagumu helikopta ya nani itaaminiwa.....manake watu wanaweza kubishania hata helikopta ipi ya kutumia. Lakini si wazo baya polisi wenyewe si wanazo hizo helikopta zingeweza kutumika .....kama tungekuwa tumejiandaa kwa hilo.
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi
Na hili ndio tatizo letu kubwa (Kujiandaa).....kama kwenye mambo madogo kama haya hatuwezi kuyafanikisha kwa ufanisi makubwa tutaweza?Tutajiandaa vipi wakati waliotakiwa kutoa maamuzi, ushauri, malalamiko n.k., walizikimbia hizo barabara za walalahoi?
latest from Tarime, mvua inanyesha, Chadema wanasheherekea ushindi hata kabla ya matokeo rasmi. FFU wanatembeza kichapo na mabomu ya machozi. CCM waikimbia Tarime na kuhama mahotelini usiku huu kabla hakujakucha kwa kuhofia usalama wao. Kamanda Tossi na vijana wake leo hakuna kulala.
Bado naubiria breaking news ya iITV hiyooo...
Currently Active Users Viewing This Thread: 101 (36 members and 65 guests)
255Texter, Alpha, Augustoons, Biggiebiggie, Bubu ataka kusema, COMRADE44, darwin, hofstede, Kichwangumu, Kigoma, Kithuku, Kitila Mkumbo, kudi shauri, Lunyungu, macinkus, mag3, Masatu, MawazoMatatu, mkuu, Mtanzania, Mtu Kwao, mwalimuzawadi, mwikimbi, nono, nziku, Pasco, Peasant, phillemon mikael, positive Thinker, Sabri-bachani, Sekenke, Sunshine, tanzactive, TooGood
Watu wanakesha hapa!!