Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Kichwangumu,
We fungua tu bia yako. Mimi niko glasi ya pili ya wine.
 
UHAKIKA.
Mpashaji aliyeko ofisi za halmashauri ya mji wa Tarime amenijulisha kuwa CHADEMA wamefanikiwa kulirudisha jimbo la TARIME mikononi mwao kwa ushindi alioutaja HALISI.

It is confirmed na hakuna utata wa taarifa.

Kwa udiwani kama tulivyosema mwanzo CHADEMA walichukua bila mizengwe.

Sasa twaweza kulala asubuhi tuwahi majukumu wana JF
Asanteni
 
Sasa naweza kusema kwa uhakika na kwa mamlaka kuwa CHADEMA imeshinda uchaguzi wa Udiwani na Ubunge Tarime .

Ushindi huu hauna shaka hata kidogo kwani pamoja na kununuliwa kwa shahada n.k tumeshinda viti viwili kwa mpigo.

Ntawawekea matokeo in three minutes time.
 
Kabla hamjafurahia vizibo hivyo... Kuna maelekezo yanasubiriwa kutoka Mbeya na yawezekana Mkandara alikuwa sahihi, CCM inaweza kukubali kushindwa na kutoa pongezi kwa Chadema na hakuna kukata rufaa na hivyo kujionesha kuwa ni chama cha demokrasia. Tusubiri wataamua kwenda njia gani.
 
miye nimeshatangaza kwenye KLHN!!!

Nimeona kule KLHNEWS lakini bado hamjaweka clear ni jumla ya kura ngapi (jumla ya kura) na Percentage na kama kuna ambazo hazijawekwa idadi yake roughly ni kiasi gani ili kuona kama zinaweza kubadili mwelekeo.

Nafungua shampagne ya kwanza ya warming up
 
Kabla hamjafurahia vizibo hivyo... Kuna maelekezo yanasubiriwa kutoka Mbeya na yawezekana Mkandara alikuwa sahihi, CCM inaweza kukubali kushindwa na kutoa pongezi kwa Chadema na hakuna kukata rufaa na hivyo kujionesha kuwa ni chama cha demokrasia. Tusubiri wataamua kwenda njia gani.

Mwache akate rufaa tu. Yatakuwa yale yale ya Tsere na Slaa. Na gharama za mahakama atalipa mwenyewe.
 
Sasa naweza kusema kwa uhakika na kwa mamlaka kuwa CHADEMA imeshinda uchaguzi wa Udiwani na Ubunge Tarime .

Ushindi huu hauna shaka hata kidogo kwani pamoja na kununuliwa kwa shahada n.k tumeshinda viti viwili kwa mpigo.

Ntawawekea matokeo in three minutes time.

Sasa naenda kulala maana ndoa ilikuwa hatarini mama ananisubiri mimi nipo na laptop all the time...viva wanatarime, huu upepo nadhani 2010 utavuma kila pembe ya Nchi. Bila shaka Rev Mtikila hatakwenda mahakani kuweka pingamizi...

Gnite guyz

Ushi wa Rombo
 
Hongera Chadema kwa kutetea jimbo la Tarime. Nafikiri idadi ya wapiga kura ilikuwa exaggerated ili kuruhusu kura za mamluki wa CCM. Kutokana na udhibiti mkubwa wa wana Tarime, CCM wameshindwa kutumia kura hizo. Sitaki kuamini katika Jimbo la Tarime turnout inaweza kuwa below 50%. Watu waliokamatwa ni wachache sana.
 
Baba yetu ulie mbinguni asante kwa zawad hii. Mapenzi yako yadumu. Amini.

Kama asante yangu kwa mwenyezi Mungu nina zaka nitatoa, kwa kuwa sina imani na makanisani msinisubirie huko. ni mimi na Mungu wangu.

asanteni wana wa Tarime. sasa tumekuja kuwashika CCM.
 
Sasa naenda kulala maana ndoa ilikuwa hatarini mama ananisubiri mimi nipo na laptop all the time...viva wanatarime, huu upepo nadhani 2010 utavuma kila pembe ya Nchi. Bila shaka Rev Mtikila hatakwenda mahakani kuweka pingamizi...

Gnite guyz

Ushi wa Rombo

Alaaa!

Kwani shemeji yetu ni SISIEMUUUU?
 
Nimekuwa bize sana mpaka nikashindwa kuja hapa ngoja nikafanye kasherehe kadogo kwani huu ni ushindi wa watanzania dhidi ya mafisadi nchini.
 
Usiendelee kuwa Kichwangumu, results ndivyo zilivyo.Zimethibitika.

Kaka nikianza kufurahi kusahau itakuwa ngumu kwa hio itakuwa shida. ebwana kesho kazini watanisamehe tu maana nao ni sehemu ya mafisadi. usiniulize nafanya wapi kazi...

chadema oyeee, wanatarime oyeeee.....
 
Sasa naenda kulala maana ndoa ilikuwa hatarini mama ananisubiri mimi nipo na laptop all the time...viva wanatarime, huu upepo nadhani 2010 utavuma kila pembe ya Nchi. Bila shaka Rev Mtikila hatakwenda mahakani kuweka pingamizi...

Gnite guyz

Ushi wa Rombo

Mkeo ina maana yupo na akina makamba???
 
Mkeo ina maana yupo na akina makamba???

Mkuu weeee acha tu mambo ya ndoa haya na siasa mmmmmhh shemeji yenu nadhani yupo na akina Makamba ile sura ya Muungwana ilimchanganya, ana matenge na vilemba vya CCM ila huwa havai nadhani alipewa kwenye kampeni za 2005.....nadhani amegundua nadharia ya KASI MPYA, NGUVU MPYA NA ARI MPYA ni utopia....
 
Wasiwasi wangu wanamdanganya na vijikanga na mitandio yao.
Sasa wewe komesha kwa kumpeleka shopping ya kanga na mitandio Zambia au Kongo.Hatapokea tena za SISIEMUU
 
Sasa naweza kusema kwa uhakika na kwa mamlaka kuwa CHADEMA imeshinda uchaguzi wa Udiwani na Ubunge Tarime .

Ushindi huu hauna shaka hata kidogo kwani pamoja na kununuliwa kwa shahada n.k tumeshinda viti viwili kwa mpigo.

Ntawawekea matokeo in three minutes time.

Ni dakika ya 20 sasa tunasubir dakika zako 3 ziishe mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom