Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Turnout ilikua ndogo kwa kuwa vijana wengi wamekamatwa na wengine kutishwa huku wengine wakiambiwa majina yao hayaonekani. Lakini wameshindwa kupandikiza kura za CCM, wana Tarime walikuwa macho


...cccm walikuwa wamejiandaa kuiba kura 50% ya 146,800....kwa mtaji huo hata kama CHADEMA wangeshinda asilimia 80% ya kura 73,400 still ccm wangeibuka na ushindi wa asilimia 70% au zaidi,haya ndio mazingaombwe wanayocheza ya ku exaggrate idadi ya voters.....KITENDO CHA WANATARIME KUWA NGANGARI KAMA PEMBA KIMEFANYA CCM WASHINDWE KUPENYEZA KURA ZA MARUANI AU KUWEKA VITUO BUBU.........

WANAKITETO WANGEKUWA NA UELEWA KAMA WA TARIME CCM PIA WASINGESHINDA PALE..TATIZO LA KITETO NI WILAYA KUBWA SANA ISIYOKUWA NA MIUNDOMBINU....AND SPACELLY DISPLACED POPULATION.NA PAMOJA NA WANANCHI KUIPENDA CHADEMA KITETO ....HAWAJUI MBINU ZAO UNLIKE TARIME.......

JAMBO LINGINE LILILONISHANGAZA KWA CCM NI KUONEKANO WAZI WA MPASUKO...KIKWETE ANA KAZI! KUNA WANA CCM WENGI MUHIMU HAWAKUTIA MGUU TARIME...KINYUME NA MSHIKAMANO WA CCM TUNAOUJUA KWENYE CHAGUZI NDOGO.....HATA CCM ZANZIBAR HAWAKUTUMA HATA KADA MMOJA KUWAONGEZEA UZOEFU TARIME.......HIYO NI HOME WORK YA KIKWETE........NI VEMA AKAENDELEA KULEA MPASUKO ILI MWAKA 2010..WAPINZANI WAPATE ANGALAU ASILIMIA 45% BUNGENI....NA IKIWA HIVYO ITAFANYA CCM WAPAGAWE WAVAE CHUPI KICHWANI..KAMA WABUNGE ASILIMIA 12% WALIOPO SASA WANAWALAZA MACHO .....TUKIPATA KINA ZITTTO 60 ITAKUWAJE????
 
Mkidhania kuwa Chadema imeshinda Tarime kwa sababu ya kazi ngumu iliyofanywa na viongozi wake itakuwa mnamiss point nzima ya ushindi wa Tarime. Kilichofanywa na viongozi ni wazi kina nafasi kubwa na isiyoweza kuondolewa, lakini ushindi wa Chadema Tarime ulitokana na watu kuikataa CCM zaidi kuliko kuikubali Chadema zaidi.

Wana Tarime walikuwa na kila sababu ya kuikimbia Chadema na kuikana (kama ukizingatia habari na porojo zilizokuwa zimetengenezwa kwa muda). Kama wana Tarime wangesikiliza maneno ya "nani alimuua Wangwe" ni wazi kuwa wangeikimbia Chadema. Kama yale ya Mbowe nusura kupigwa kule Tarime wakati wa msiba yangekuwa ni ya kuaminika watu wangeona kweli Tarime wamechukizwa na Chadema. Ukizingatia mgongano wa maneno kati ya marehemu Wangwe na Mbowe na pia uongozi mzima wa Chadema ni wazi kuwa Tarime walikuwa na kila sababu ya kutoichagua Chadema na kuijaribu tena CCM. Hawakufanya hivyo. Why?

Mkuu Mwanakijiji,
Mawazo mazuri lakini sidhani kama CHADEMA wameshinda kwa sababu ya watu kuwakimbia CCM peke yake, ingawa inaweza ikawa moja ya sababu. Kwa maoni yangu ukosefu wa amani unaweza ukawa kigezo kikubwa zaidi kwenye haya matokeo.

Kutokana na ushiriki wa watu kuwa mdogo sana, (~50,000) ukilinganisha na 2005 (~90,000), inaelekea wazi kuwa watu waliogopa kushiriki hasa baada ya kuwepo kwa vurugu na watu kuchomwa visu. Ushindi wa CHADEMA ni pungufu kwa kura zaidi ya 30,000 ukilinganisha na 2005, kiasi ambacho ni kingi kuliko kura walizopata hivi sasa na hata kwa asilimia ni chini kwa karibu 10%.

Mwaka 2005, marehemu Wangwe alipata kura 57,331 au 64.2% (nyingi kuliko jumla ya kura zote za CHADEMA na CCM kwenye huu uchaguzi wa leo). 2005, marehemu Wangwe alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza kwa kuwa na ushindi mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA.


Kwa hiyo inawezekana kuwa waliopiga kura wengi wao walikuwa ni wakereketwa tu wa hivyo vyama na wengine wasio wakereketwa wa hizo siasa zao, walioona waepukane na vurugu na wakakaa nyumbani.

Hivyo haya matokeo yanatakiwa yaangaliwe kwa udadisi mkubwa zaidi na wahusika wote, CHADEMA, CCM na zaidi ya wote waandaaji uchaguzi kwani vurugu zinaweza zikawa ndio zilizoleta haya matokeo na hivyo yanaweza kuwa hayatoi picha halisi ya siasa hapo Tarime.
 
Wrong analysis, again. Ushindi wa Chadema Tarime umechangikiwa kwa sehemu kubwa sana na utendaji mzuri wa serikali ya wilaya [inayoongzwa na Chadema] coupled with kazi nzuri ya viongozi wa Chadema [walioendesha campaign] kwa ku-articulate sera za Chadema na ku-outline mazuri waliyoyafanya kwa kipindi kifupi walichokuwa madarakani [i.e. kuwalipia wanafunzi wa secondary school fees n.k] So let's be clear on that.



Baloney! Tarime voters are pretty sophisticated and knowledgable than you might think MMKJ. Ndio maana hata mwaka 1995, walimwambia Mchonga waziwazi kwamba, " tutampigia Mkapa kura, lakini siyo Kisyeri." It's sad kwamba CCM waliiba kura mwaka 1995. And I guarantee you hata kama hizo rumors za kwamba Mbowe amemuua Wangwe zingepikwa kitaalamu namna gani, still wanatarime wasinge fall kwenye hizo lies, na CCM bado ingenyweshwa maji tu.

duh.. inakuwa kazi kweli; basi ungesoma nilichoandika maana unachosema ndicho ninachoashiria. Au hadi nikuspelie?
 
Mkuu Mwanakijiji,
Mawazo mazuri lakini sidhani kama CHADEMA wameshinda kwa sababu ya watu kuwakimbia CCM peke yake, ingawa inaweza ikawa moja ya sababu. Kwa maoni yangu ukosefu wa amani unaweza ukawa kigezo kikubwa zaidi kwenye haya matokeo.

Kutokana na ushiriki wa watu kuwa mdogo sana, (~50,000) ukilinganisha na 2005 (~90,000), inaelekea wazi kuwa watu waliogopa kushiriki hasa baada ya kuwepo kwa vurugu na watu kuchomwa visu. Ushindi wa CHADEMA ni pungufu kwa kura zaidi ya 30,000 ukilinganisha na 2005, kiasi ambacho ni kingi kuliko kura walizopata hivi sasa na hata kwa asilimia ni chini kwa karibu 10%.

Mwaka 2005, marehemu Wangwe alipata kura 57,331 au 64.2% (nyingi kuliko jumla ya kura zote za CHADEMA na CCM kwenye huu uchaguzi wa leo). 2005, marehemu Wangwe alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza kwa kuwa na ushindi mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA.


Kwa hiyo inawezekana kuwa waliopiga kura wengi wao walikuwa ni wakereketwa tu wa hivyo vyama na wengine wasio wakereketwa wa hizo siasa zao, walioona waepukane na vurugu na wakakaa nyumbani.

Hivyo haya matokeo yanatakiwa yaangaliwe kwa udadisi mkubwa zaidi na wahusika wote, CHADEMA, CCM na zaidi ya wote waandaaji uchaguzi kwani vurugu zinaweza zikawa ndio zilizoleta haya matokeo na hivyo yanaweza kuwa hayatoi picha halisi ya siasa hapo Tarime.

hoja yako ingekuwa na nguvu kama ungelinganisha na Kiteto. CCM walishinda Kiteto kwa namna gani ukiangalia namba?
 
Halafu nikuongezee point fulani kuhusu wachaga wa Uru, nimekaa Moshi muda mrefu pia nazijua kabila zote zinazoitwa "wachaga" kwa undani. Wauru, licha ya kuwa na wasomi wengi miongoni mwao, lakini tatizo lao wako very unpredictable! Huwezi kujua uamuzi wake hadi saa itakapofika ya kuamua. Sijui ni woga au ni nini? Hata ofisini au popote penye jambo la kukubaliana, mnaweza kukubaliana jambo kabisa, muda ukifika anatenda anavyojisikia yeye kwa wakati huo, makubaliano anayatupilia mbali! Anachokwambia sicho atakachotenda! Kwa hiyo asishangae mtu yeyote CCM au "fisadi" kama wengine walivyosema kushinda huko. Uchaguzi uliopita classmate wangu Anthony Komu (ni mwenyeji wa huko) alienda kugombea ubunge Moshi vijijini, bahati mbaya sikupata nafasi ya kuonana nae kabla hajaanza kampeni, ningemwuliza "utawaweza ndugu zako wale"? Maana kule kila mgombea wanamhakikishia kabisa "ni wewe tu, hakuna mwingine!" Kumbe fiksi tu ikifika siku ya kura kila mtu na lwake moyoni! Walimpiga chini ndugu yao Komu, sijui yuko wapi siku hizi!

umesema ukweli, usijali komu anaweza pia yuko hapa jamvini. sasa hivi ni mkurugenzi wa utawala na fedha wa chadema, ni kweli aliangushwa na wa uru wenzake, wale watu ni wanafiki sana, simu ya komu 0713 615603
 
mkuu mwanakijiji,
mawazo mazuri lakini sidhani kama chadema wameshinda kwa sababu ya watu kuwakimbia ccm peke yake, ingawa inaweza ikawa moja ya sababu. Kwa maoni yangu ukosefu wa amani unaweza ukawa kigezo kikubwa zaidi kwenye haya matokeo.

kutokana na ushiriki wa watu kuwa mdogo sana, (~50,000) ukilinganisha na 2005 (~90,000), inaelekea wazi kuwa watu waliogopa kushiriki hasa baada ya kuwepo kwa vurugu na watu kuchomwa visu. Ushindi wa chadema ni pungufu kwa kura zaidi ya 30,000 ukilinganisha na 2005, kiasi ambacho ni kingi kuliko kura walizopata hivi sasa na hata kwa asilimia ni chini kwa karibu 10%.

mwaka 2005, marehemu wangwe alipata kura 57,331 au 64.2% (nyingi kuliko jumla ya kura zote za chadema na ccm kwenye huu uchaguzi wa leo). 2005, marehemu wangwe alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza kwa kuwa na ushindi mkubwa zaidi ndani ya chadema.


kwa hiyo inawezekana kuwa waliopiga kura wengi wao walikuwa ni wakereketwa tu wa hivyo vyama na wengine wasio wakereketwa wa hizo siasa zao, walioona waepukane na vurugu na wakakaa nyumbani.

hivyo haya matokeo yanatakiwa yaangaliwe kwa udadisi mkubwa zaidi na wahusika wote, chadema, ccm na zaidi ya wote waandaaji uchaguzi kwani vurugu zinaweza zikawa ndio zilizoleta haya matokeo na hivyo yanaweza kuwa hayatoi picha halisi ya siasa hapo tarime.


low voters turnout katika scenerio nyingi imeonekana kutokana na ccm kununua shahada kutoka kwa wapiga kura ambao wako likely kuu vote them out...

Thats why mikutano mingi ya wapinzani huwa inajaa mashabiki ..wengi vijana ..lakini maskini woote au wengi wameshauza shahada zao kwa tzs 5,000[madalali husema tzs 10,000].....sasa fisadi akiwa na milioni 200 anannunua shahada 20,000[hapo na madalali wameshakula]

so ili upinzani ushinde ni lazima ....wahakikishe mashabiki wao hawauzi shahada..,kuwahimiza wakapige kura,na kufanya close monitoring siku ya uchaguzi...haya yamefanyika tarime...lakini unapokuja uchaguzi mkuu inakuwa ngumu kwa vyama hivi masikini kujigawa....nashauri bora viangalie namna ya kutumia limited resources walizonazo kwenye maeneo yatakayoleta impact ..ili taratibu wajijengee uwezo...wanaweza kulenga haata miaka 20 ijayo....tutafika tu!!
 
gazeti la uhuru limeripotikuwa ccm imeshinda uchaguzi wa tarime eti kwa kuongoza kata 11 kati ya kata 20
 
Jamani haya ni matokeo rasmi?, maana tume wanasema itachukua siku kadhaa au?
 
gazeti la uhuru limeripotikuwa ccm imeshinda uchaguzi wa tarime eti kwa kuongoza kata 11 kati ya kata 20

Ndio maana nikasema tume imetangaza rasmi matokeo?

Ngojeni muyaone ya Kivuitu hapa Bongo. Hangover ya wine na bia zitawaanza hii asubuhi!
 
Ndugu zangu,

Tafiti zote za kisomi zinaonyesha kuwa ni kawaida chaguzi ndogo kuwa na ushiriki chini ya asilimia hamsini. Sababu ni nyingi lakini matokeo ya ushiriki hushabihiana.

Kwa jimbo la TARIME huu ni ushindi wa kwanza wa CHADEMA kama taasisi inayojijenga. USHINDI wa 2005 ulikuwa ni ushindi wa CHACHA RASTA WANGWE na vita dhidi ya fisadi hovyohovyo CHAMBIRI.

Hivyo basi kwa mara ya kwanza CHADEMA imedhihirishia watanzania kuwa inaweza kuwa taasisi imara ya kuaminika na kufanikisha mambo miongoni mwa makundi ya kisiasa ya upinzani. Watakaoumia zaidi na ushindi huu wa CHADEMA ni kina mtikila na "wenzake" wanaodhani kuwa CHADEMA ni tatizo la vyama vyao kudoda na sio ukosefu wao wa strategy na uthubutu wa kisiasa.

Kama kweli CHADEMA wameshinda kwa nguvu KEMOKERERE anapotokea Marehemu CHACHA WANGWE basi hiyo inaashiria wazi kuwa ZENGWE la kifo cha CHACHA limewageuka machakubimbi wetu wa kisiasa na kuimarisha CHADEMA.

Kwa wana CHADEMA, TARIME ndio ngome yenu kuu ya kuendeleza mapambano kuelekea 2010. Hakikisheni mnatumia vizuri ngome hiyo huku mkijua CCM pia wanajua hilo......

Sasa tusubiri MRIPUKO ndani ya CCM......

Tanzanianjema
 
msifanye utani, mtafuteni zito kabwe walio na namba yake, aje hapa atueleze kama kuna wizi unataka kufanyika tuvae makombati tuende front, hakuna atakayekubali mtu ambaye hakushinda tarime atangazwe mshindi, hata jk anajua hilo huko ileje aliko
 
duh.. inakuwa kazi kweli; basi ungesoma nilichoandika maana unachosema ndicho ninachoashiria. Au hadi nikuspelie?

Don't take it personal mkuu. Tatizo hapa ni intellectual incoherence uliyoionyesha. Rejea ulichokiandika hapo chini.

Mkidhania kuwa Chadema imeshinda Tarime kwa sababu ya kazi ngumu iliyofanywa na viongozi wake itakuwa mnamiss point nzima ya ushindi wa Tarime. Kilichofanywa na viongozi ni wazi kina nafasi kubwa na isiyoweza kuondolewa, lakini ushindi wa Chadema Tarime ulitokana na watu kuikataa CCM zaidi kuliko kuikubali Chadema zaidi [Nope! Wrong analysis!].

Time for a cold shower, I guess.
 
Don't take it personal mkuu. Tatizo hapa ni intellectual incoherence uliyoionyesha. Rejea ulichokiandika hapo chini.



Time for a cold shower, I guess.

don't want to argue with you; you missed the whole point ya nilichosema. Its ok.
 
mlioko tarime mnaweza kutusaidia kama ifuatavyo, tuwekeeni hapa matokeo ya kila kituo tafdhali, tusadieni wazalendo na wanandemokrasia wenzenu
 
Asante WANATARIME kwa kugundua mbinu chafu za mafisadi
Hongereni CHADEMA kwa kazi ngumu mlioifanya TARIME
Iko siku wataondoka ,cha msingi ni kutokata tamaa ingawa VITA ni ngumu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom