Gustanza_The
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 126
- 7
... naunga mkono dhuluma zinazowakabili wana Tarime.
...lakini nimekuelekeza kwamba dhuluma hizo zipo karibu kila mahali ambapo kuna madini ktk Tanzania yetu.
...kwa msingi wa hoja hiyo hapo juu, ni bora mkaunganisha harakati zenu na wananchi wa maeneo mengine yenye matatizo kama yenu ili kuleta SURA YA UTAIFA ktk madai yenu.
Are you kidding me!? watarime wataunganishaje harakati za kudai fair shares kwa madini yaliyoko wilayani kwao na wananchi wa maeneo mengine ambao bado hawajaona hilo suala kama ni jambo la kupewa kipaumbele?? Kama nilivyosema hapo awali:"If you want to go fast, go alone, if you want to go far, go together. Huwezi ukawajumuisha wananchi wa sehemu nyingine kwenye hii cause hali wananchi hao wenyewe bado hawajawa tayari ku-join hii battle. So, Tarime wako absolutely right kupigania haki zao kivyaovyao. And I suport them 110%. Ila, siku ambayo watu wa sehemu zingine watakapoamuka toka usingizi na kuamua ku-join hii battle iliyoanzishwa na watu wa Tarime, then hapo ndipo watu wa Tarime nao watakapokuwa tayari kushirikiana/unganisha nguvu na wananchi wa sehemu zingine. And I'll love to see that happening coz it'll be a sort of spiritual awakening kwa taifa la Tanzania. Otherwise, sioni umuhimu kwasasa kwa watu wa Tarime kuunganisha nguvu na mtu yeyote yule. Wakifanya hivyo, then wajue kuwa cause yao iko doomed kiaina.