Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Mkuu,

Forum yenu ina thread iliyoanzishwa na moderator wenu inayosema
"Chadema yaibwaga CCM Tarime, yachukua Ubunge, Udiwani!"

Sasa hapo huwezi kusema yako wewe macho. Nyinyi ndio mmeitangazia dunia matokeo.

Mkuu,
Hakuna lolote haramu ktk aliyosema,yake macho watu watakapopiga makofi PC zao.
 

Hivi mpaka sasa ina maana kwamba maboksi hayajafika yote toka Tarime vijijni? Kama tayari, tume inangoja nini kutangaza matokeo ii tujue moja, iwapo Tanzania tumezalisha "Kivuitu" wetu ama la?
 
Naona sasa JF inatumika kama chombo cha propaganda za CHADEMA. Iwapo moderators hawatakuwa macho juu ya hili credibility ya JF kwa jamii itashuka. Kichwa cha habari hii hakiko sahihi na kina ladha ya propaganda za CHADEMA, MODS mko wapi???
 
Mkuu,

Tovuti yenu ina thread iliyoanzishwa na moderator wenu inayosema
"Chadema yaibwaga CCM Tarime, yachukua Ubunge, Udiwani!"

Sasa hapo huwezi kusema wewe yako macho. Nyinyi ndio mmeitangazia dunia matokeo.
Oh, kumbe ni heading tu... I have to change it!

Kwa maelezo niliyotoa jana niliwafahamisha kuwa CHADEMA wameshinda Udiwani (confirmed) na nikawafahamisha kuwa Ubunge bado ni kitendawili... Matokeo ya Ubunge hayajatangazwa!
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....
Lirudi vipi na wapiga kura wakikataa je?

Nipo Jf nabonyeza F5 tu
 
Oh, kumbe ni heading tu... I have to change it!

Kwa maelezo niliyotoa jana niliwafahamisha kuwa CHADEMA wameshinda Udiwani (confirmed) na nikawafahamisha kuwa Ubunge bado ni kitendawili... Matokeo ya Ubunge hayajatangazwa!

Ahsante Mkuu.

Ndio maana nakuamini.
 
Wapinzani watu wa ajabu sana. Wanaanza mambo ya Zanzibar 1995..

Kazi ya kutangaza matokeo ni ya TUME sasa sijui kwanini mnatangaza wakati TAARIFA RASMI BADO.

Naona mnataka kuanza kulalamika mmeonewa hali ikiwa tofauti

Ndugu yangu kila mtu anajua kuwa kazi ya kutangaza matokeo ni ya TUME,Sasa kama, tume yenyewe wameshindwa kutangaza wengine wanaamua kuifanya hiyo kazi,huo ndo ukweli,na mara zote katika serikali zetu za Afrika chama Tawala kikishindwa dalili mojawapo ni kuchelewa kutoa matokeo.
 
Zacharia peter has surrendered and signed to accept the defeat.Ngoma imebakia kwa kangoye who has refused to sign and surrender .As I speak to you the police defender is said to be torched .Polisi sasa wanatembeza kipigo bila ya kujali .Barabara kuingia Bomani zote zimezibwa no go through.Tarime kumetangazwa hali ya hatari lakini wana Tarime wanasema hadi kieleweke.Staye tuned and am right on the ground .

CCM wameamua kuua kisa jimbo moja tu la Uchaguzi la Tarime.Aibu kubwa kwa Msekwa , Makamba na Mkwere Kikwete .
 

Naona leo watu tumehamia TARIME kabisa....wote hivi.
Wapo wanao nuna hapa wengine ni kicheko tu na kimuhe muhe..
Naomba details jamani nani kashinda na nani kashindwa?
 
 
Hali ya Tarime ni tete zaidi ya siku za nyuma baada ya vuta nikuvute ya kutotangaza matokeo sasa naambiwa defender inawaka na natafuta namna kufika iliko ili niweze ku confirm ila naambiwa hapa kwamba watu wamerudi majumbani kutwaa silaha zao baada ya Polisi kuanza upuuzi wao.Stay tuned .
 
ochu, Akthoo, Al, allse, Bavuvi, Bazobonankira, bint, Bubu Msemaovyo, congo, EDDOH, EXECUTIVE, FairPlayer, Fatuma, First Lady, Francis the King, Gashle, Hamad Yussuf, IDIMI, Interested Observer, jacobae, Jibaba Bonge, kashaija, kilbark, kipanga, kizimkazimkuu, kkiwango, Kubwajinga, kudi shauri, LIGHONDI, lione, Lunyungu, LUSYONJA, macinkus, Magehema, malila, mamaparoko, Maverick, Mbalamwezi, mfwatiliaji, Mkaguzi, mkamap, Mlalahoi, Mndundu, Mr. Zero, Mtu Kwao, Mutu, mwananchit, Mwanangurumo, mwikimbi, mzee wa gumzo, Mzozo wa Mizozo, NDANDA TO LOMWE, nesindiso sir, ngorunde, njilembera, Njimba Nsalilwe, ntaramuka, Pasco, paullih, phillemon mikael, PJ, Realist, Silencer, tauphiq, THADEUS, tishekwavb, Tom, Tshala, Tuandamane, Ushirombo, vkitina, Wakuja, wembemkali, Willy, Yo Yo, zemarcopolo, Zion Train
(Tarime Kuna ni?)
 
 

Imeshatangazwa rasmi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…