Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Mkuu,

Forum yenu ina thread iliyoanzishwa na moderator wenu inayosema
"Chadema yaibwaga CCM Tarime, yachukua Ubunge, Udiwani!"

Sasa hapo huwezi kusema yako wewe macho. Nyinyi ndio mmeitangazia dunia matokeo.

Mkuu,
Hakuna lolote haramu ktk aliyosema,yake macho watu watakapopiga makofi PC zao.
 
FP taarifa 2lizoleta jana usiku siyo batili.Hesabu ndivyo zilivyo kwa kuwa mahesabu yameshafanywa.

Kilichobaki ni kuyaabariki matokeo kwa kuyarasimisha tu.Hofu ya wanatarime kwasasa ni kuwa mara zote matokeo yanapocheleweshwa kutangazwa huwa kuna miundombinu flani.

Hata hivyo hali haitabadilika na wala hatukukosea kutoa taarifa mapema.Hii ndiyo JF Bwana!Habari zinaanzia nyumbani ati

Hivi mpaka sasa ina maana kwamba maboksi hayajafika yote toka Tarime vijijni? Kama tayari, tume inangoja nini kutangaza matokeo ii tujue moja, iwapo Tanzania tumezalisha "Kivuitu" wetu ama la?
 
Naona sasa JF inatumika kama chombo cha propaganda za CHADEMA. Iwapo moderators hawatakuwa macho juu ya hili credibility ya JF kwa jamii itashuka. Kichwa cha habari hii hakiko sahihi na kina ladha ya propaganda za CHADEMA, MODS mko wapi???
 
Mkuu,

Tovuti yenu ina thread iliyoanzishwa na moderator wenu inayosema
"Chadema yaibwaga CCM Tarime, yachukua Ubunge, Udiwani!"

Sasa hapo huwezi kusema wewe yako macho. Nyinyi ndio mmeitangazia dunia matokeo.
Oh, kumbe ni heading tu... I have to change it!

Kwa maelezo niliyotoa jana niliwafahamisha kuwa CHADEMA wameshinda Udiwani (confirmed) na nikawafahamisha kuwa Ubunge bado ni kitendawili... Matokeo ya Ubunge hayajatangazwa!
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....
Lirudi vipi na wapiga kura wakikataa je?

Nipo Jf nabonyeza F5 tu
 
Oh, kumbe ni heading tu... I have to change it!

Kwa maelezo niliyotoa jana niliwafahamisha kuwa CHADEMA wameshinda Udiwani (confirmed) na nikawafahamisha kuwa Ubunge bado ni kitendawili... Matokeo ya Ubunge hayajatangazwa!

Ahsante Mkuu.

Ndio maana nakuamini.
 
Wapinzani watu wa ajabu sana. Wanaanza mambo ya Zanzibar 1995..

Kazi ya kutangaza matokeo ni ya TUME sasa sijui kwanini mnatangaza wakati TAARIFA RASMI BADO.

Naona mnataka kuanza kulalamika mmeonewa hali ikiwa tofauti

Ndugu yangu kila mtu anajua kuwa kazi ya kutangaza matokeo ni ya TUME,Sasa kama, tume yenyewe wameshindwa kutangaza wengine wanaamua kuifanya hiyo kazi,huo ndo ukweli,na mara zote katika serikali zetu za Afrika chama Tawala kikishindwa dalili mojawapo ni kuchelewa kutoa matokeo.
 
Zacharia peter has surrendered and signed to accept the defeat.Ngoma imebakia kwa kangoye who has refused to sign and surrender .As I speak to you the police defender is said to be torched .Polisi sasa wanatembeza kipigo bila ya kujali .Barabara kuingia Bomani zote zimezibwa no go through.Tarime kumetangazwa hali ya hatari lakini wana Tarime wanasema hadi kieleweke.Staye tuned and am right on the ground .

CCM wameamua kuua kisa jimbo moja tu la Uchaguzi la Tarime.Aibu kubwa kwa Msekwa , Makamba na Mkwere Kikwete .
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 256 (85 members and 171 guests)
fidel80, allse, Bavuvi, Bazobonankira, bint, Bubu Msemaovyo, EDDOH, EXECUTIVE, FairPlayer, Fatuma, First Lady, Franc, Francis the King, Gashle, Hamad Yussuf, IDIMI, Interested Observer, jacobae, Jeni, Jibaba Bonge, kashaija, kilbark, kimambo, kipanga, kizimkazimkuu, Kubwajinga, kudi shauri, Ladslaus Modest, LIGHONDI, lione, Lunyungu, Lusajo, LUSYONJA, macinkus, Magehema, malila, mamaparoko, Maverick, Mbalamwezi, mchana, mfwatiliaji, Mkaguzi, mkamap, Mlalahoi, Mndundu, Mr. Zero, Mtu Kwao, Mutu, mwakyj, mwalimuzawadi, mwanakwetu, mwananchit, Mwanangurumo, mwikimbi, mzee wa gumzo, Mzozo wa Mizozo, NDANDA TO LOMWE, nesindiso sir, njilembera, Njimba Nsalilwe, ntaramuka, Pasco, paullih, phillemon mikael, PJ, Rainbow, Realist, remyshas, Silencer, tauphiq, THADEUS, tishekwavb, Tom, Tshala, Tuandamane, vkitina, Wakuja, wembemkali, WildCard, Willy, Yo Yo, Zion Train

Naona leo watu tumehamia TARIME kabisa....wote hivi.
Wapo wanao nuna hapa wengine ni kicheko tu na kimuhe muhe..
Naomba details jamani nani kashinda na nani kashindwa?
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....[/QUOTE

Chanzo cha taarifa zako? Kwa ninavyoelewa, haya ni mawasiliano ya ndani na nyeti, si rahisi sana kwa kujulikana kwa tulio wengi! Ina maana haya maagizo muungwana kayatoa kwa njia ya redia ama?
Huu si uzushi kweli?
Jamani tuende polepole na mambo haya!
 
Hali ya Tarime ni tete zaidi ya siku za nyuma baada ya vuta nikuvute ya kutotangaza matokeo sasa naambiwa defender inawaka na natafuta namna kufika iliko ili niweze ku confirm ila naambiwa hapa kwamba watu wamerudi majumbani kutwaa silaha zao baada ya Polisi kuanza upuuzi wao.Stay tuned .
 
ochu, Akthoo, Al, allse, Bavuvi, Bazobonankira, bint, Bubu Msemaovyo, congo, EDDOH, EXECUTIVE, FairPlayer, Fatuma, First Lady, Francis the King, Gashle, Hamad Yussuf, IDIMI, Interested Observer, jacobae, Jibaba Bonge, kashaija, kilbark, kipanga, kizimkazimkuu, kkiwango, Kubwajinga, kudi shauri, LIGHONDI, lione, Lunyungu, LUSYONJA, macinkus, Magehema, malila, mamaparoko, Maverick, Mbalamwezi, mfwatiliaji, Mkaguzi, mkamap, Mlalahoi, Mndundu, Mr. Zero, Mtu Kwao, Mutu, mwananchit, Mwanangurumo, mwikimbi, mzee wa gumzo, Mzozo wa Mizozo, NDANDA TO LOMWE, nesindiso sir, ngorunde, njilembera, Njimba Nsalilwe, ntaramuka, Pasco, paullih, phillemon mikael, PJ, Realist, Silencer, tauphiq, THADEUS, tishekwavb, Tom, Tshala, Tuandamane, Ushirombo, vkitina, Wakuja, wembemkali, Willy, Yo Yo, zemarcopolo, Zion Train
(Tarime Kuna ni?)
 
Taarifa nilizonazo muungwana Mbeya amewaambia tume ya uchaguzi kifanyike kinachowekana jimbo lilirudi CCM stay tuned....[/QUOTE

Chanzo cha taarifa zako? Kwa ninavyoelewa, haya ni mawasiliano ya ndani na nyeti, si rahisi sana kwa kujulikana kwa tulio wengi! Ina maana haya maagizo muungwana kayatoa kwa njia ya redia ama?
Huu si uzushi kweli?
Jamani tuende polepole na mambo haya!

Mkuu nimekushika pabaya? Pole sana
 
Hengera sana CHADEMA! Jana nilikesha hapa kusubiria matokeo,leo nilikua na pepa lakini kimeeleweka.

Ushindi huu ni ushindi wa wapenda mabadiliko,wenye nia ya dhati na taifa letu tukufu,wachukia dhuluma,ufisadi,manyanyaso,fitina na vitisho.

Ni ushindi dhidi ya CCM na maluki wa upinzani,ni ushindi dhidi ya polisi wasio waadilifu,usalama wa taifa uliopoteza dira,tume isiokua huru ya uchaguzi,mfumo kandamizi usopenda demokrasia ya vyama vingi ishamiri na ni laana dhidi ya watumiao misiba kama kivutio cha wapiga kura,na ni ushindi dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi ili kuidhulumu haki na kiu ya mapinduzi.

Mungu awaponye wale waliomia na kudhalilishwa ktk mchakato huu,awaponye wenye majeraha ya Moyo na Mwili katika kusimamia kile walichoamini.Wanatarime kwa mara nyingine tena wamedhihirisha nguvu ya mabadiliko.

Ni mfano wa kuigwa katika taifa,nguvu wanazotumia polisi dhidi ya wanatarime wakati matokeo rasmi yakisubiriwa kutangazwa ni ishara nyingine ya kutokubali kushindwa.Hili jimbo lisiwe chanzo cha chuki,unyama na visasi.Hizo ni Rasha rasha kwa CCM,wasubiri nguvu kuu 2010.


Mungu Ibariki CHADEMA,wape uvumilivu wanatarime,Mungu Ibariki Tanzania

Imeshatangazwa rasmi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom