Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba na kuweka ukomo wa miaka 10 kwa vipindi vya mihula miwili vya Urais ni wazi walisahau kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge, sasa tuna wabunge wengi waliokaa miaka zaidi 15 bungeni.
Ni Wakati sasa wa kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge katika katiba yetu, ikiwezekana iwe ni miaka 10 tu kama ulivyo Urais, kuna watu wamezeekea katika viti vya ubunge.
Ni Wakati sasa wa kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge katika katiba yetu, ikiwezekana iwe ni miaka 10 tu kama ulivyo Urais, kuna watu wamezeekea katika viti vya ubunge.