Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti
Toa maoni yako
Toa maoni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ipi? Wakati chama Chao hakiwatambui?Siyo batili ubunge wao ni Halali Kwa mjibu wa sheria
Katiba ya Chadema haikukaa vizuri kwa sababu imetoa madaraka makubwa ya kuwavua uanachama kwa Baraza Kuu, siyo Kamati Kuu. Muundo huo una uzuri wake ikiwa ni kuhakikisha kuwa haki inatendeka zaidi lakini pia ubaya wake ndio huu wa kuwa unachelewsha maamuzi. Kwa sasa hivi hao hawajavuliwa uanachama mpaka Baraza Kuu litoe liwasikilize na kutoa tamko.Sheria ipi? Wakati chama Chao hakiwatambui?
Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
Gazeti ndiyo bunge la Tanzania?
Mkuu, ni kweli kila kitu kinawezekana hapa Tanzania, hata kiwe cha hovyo namna gani, bila ya aibu yoyote kitatendwa na wavaa suti.Wameamua kuitumia mahakama kusigina katiba kweli kila kitu kinawezekana walioapa kulinda katiba ndio wanaoisigina dah.
Siyo batili ubunge wao ni Halali Kwa mjibu wa sheria
Katiba ya Chadema haikukaa vizuri kwa sababu imetoa madaraka makubwa ya kuwavua uanachama kwa Baraza Kuu, siyo Kamati Kuu. Muundo huo una uzuri wake ikiwa ni kuhakikisha kuwa haki inatendeka zaidi lakini pia ubaya wake ndio huu wa kuwa unachelewsha maamuzi. Kwa sasa hivi hao hawajavuliwa uanachama mpaka Baraza Kuu litoe liwasikilize na kutoa tamko.
Usiwe na harakaSasa walikata rufaa ya Nini Kama bado ni wanachama?. Kasome hukumu vizuri. Kamati Ina mamlaka ya kuwavua uanachama. Issue mahakama inachopinga ni wajumbe wa Kamati kuu kuwa sehemu ya maamuzi ya baraza kuu.
Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
Usiwe na haraka