Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti

View attachment 2843678

Toa maoni yako
Ni sahihi kabisa.
Ubunge wao ni batili kwa 100%.
Mahakama imefanya kazi yake kulingana na kesi ilivyofunguliwa.
Kwanini?
Wakina Mdee walifungua kesi dhidi ya Baraza kuu ya CHADEMA kuhusu rufaa zao na hapo hapo wakaweka zuio la kutovuliwa ubunge wao wakati kesi ikiendelea, kesi imeisha na zuio limefutika huku maamuzi ya kamati kuu yaliyowavua uanachama wao yakibakia pale pale tena mahakama ikiweka msisitizo kuwa kamati kuu ilitimiza wajibu wake kwa haki.
 
Naona wengi bado tuko gizani nini hasa mahakama imeamua. Inaonesha mahakama imemumunya maneno tu. Ilitakiwa iseme bila kupepesa
1. Hawa wabunge bado ni wanachadema au wametimuliwa?
2. Uhalali wao wa kuwa bungeni ni sawa au la?
3. Spika achukue hatua yoyote au la
Kuwaweka gizani ndio malengo ya Jaji wa mchongo, na ukihoji zaidi utaletewa ufafanuzi Kwa lugha ya Kilatini na Kigiriki ili ukome kuwafuatafuata.
 
Kwa akili yako ndogo unadhani pesa zinazopigwa kiharam ni za Chadema.

Hii ndio poor thinking capacity ya Watanzania wengi.

Halima Mdee na wahuni wenzake 19 ni wahujumu uchumi.
Wanachama wote wa chadema ni haramu,na utashangaa wanaopigania hakina Mdee watoke ni wanachadema ambao wao kutwa wanategemea majina yao yatapelekwa Bungeni ili wawe viti Maalum. So subirini mpaka 2025 tusikie hoja na sera zenu ili msiingie Bungeni tena kiharamu
 
Sasa walikata rufaa ya Nini Kama bado ni wanachama?. Kasome hukumu vizuri. Kamati Ina mamlaka ya kuwavua uanachama. Issue mahakama inachopinga ni wajumbe wa Kamati kuu kuwa sehemu ya maamuzi ya baraza kuu.
Kwa hiyo, Mahakama inapingana na Katiba ya CDM!!??
 
Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
Hivi ukihukumiwa kifungo na ukakata rufaa. Adhabu haitekelezwi mpakà rufaa yako isikilizwe?
 
Leo umeongea kama Wakili msomi

Mungu wa Mbinguni akubariki 😀

Jaji apewe maua yake
 
Gazeti ndiyo bunge la Tanzania?

Watanzania tu wajinga sana, waandishi wenyewe hao makanjanja wanaoiba habari JF?
Leo umeongea jambo la msingi sana!!!

Gazeti tu ndo limekuwa faraja kwa Nyumbu!! Kumbe waandishi wenyewe ndo hawa hawa CHAWA kina Erythrocyte
 
Umeelewa ulichoandika?. Yani mahakama haitendi haki kisa tu imekubaliana na Kamati kuu ya chadema.
Mkuu econonist, sijui ni wangapi mmeisoma katiba ya Chadema, mamlaka za nidhamu na uelimishaji wa vikao vya mashauri ya nidhamu, amini nakuambia kilichofanyika ni ukangaroo mtupu!.
P
 
Hivi ukihukumiwa kifungo na ukakata rufaa. Adhabu haitekelezwi mpakà rufaa yako isikilizwe?
Kama hakuna zuwio kutoka Mahakama ya Juu adhabu lazima.itekelezwe hata kama uko kwenye process za kukata rufaa yako!!
 
Back
Top Bottom