Pre GE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

Pre GE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nini mtu ambaye siyo mkazi awakilishe wananchi wakazi eneo hilo?
Fikra duni za kutawaliwa (utumwa, ukoloni) zilijengeka hapa.
Mgeni atakuwakilisha vipi?
Akili za uchawa, udalali, upambe bila kuangalia mambo ya msingi ni hatari sana kwa mustakabali wa jamii na taifa kwa ujumla.
 
Hata kabudi alipewa ububge ilihali iyo sehemu hajawah kukaa hata miaka 5 tu kipindi profesa
 
Muuaji hapana

Paul Makonda apigwa marufuku kuingia Marekani​

Paul Makonda

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,Marekani inamshutumu Makonda kwa kushiriki katika ukandamizaji wa haki za binaadamu Tanzania.
31 Januari 2020
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, apigwa marufuku kuingia Marekani.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani leo Ijumaa, Januari 31 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Bi Mary Felix Massenge.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Makonda anashutumiwa kwa kushiriki katika ukandamizaji wa haki za binaadamu.
Ukandamizaji wa haki ambao Makonda anashutumiwa kuutenda ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wa watu.
 
Kwa nini mtu ambaye siyo mkazi awakilishe wananchi wakazi eneo hilo?
Fikra duni za kutawaliwa (utumwa, ukoloni) zilijengeka hapa.
Mgeni atakuwakilisha vipi?
Akili za uchawa, udalali, upambe bila kuangalia mambo ya msingi ni hatari sana kwa mustakabali wa jamii na taifa kwa ujumla.
Kwani Samia ni wa Tanganyika? Mbona anawatesa kishenzi na mmeufyata!
 
Lissu
Makonda
Hawa ndio nitawapigia kura....Makonda njoo home hapa uchape kazi
 
Samia ni Rais wa Tanzania, siyo wa Tanganyika.
Samia hawezi kuwatesa watanganyika bila kusaidiwa na wenyewe.
Uko sahihi anasaidiwa na polisi wa tanganyika! Mapolisi yanajisahahu kuwa watoto wao kesho hawatakuwa na pa kukaa!
 
Back
Top Bottom