Pre GE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

Pre GE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nini mtu ambaye siyo mkazi awakilishe wananchi wakazi eneo hilo?
Fikra duni za kutawaliwa (utumwa, ukoloni) zilijengeka hapa.
Mgeni atakuwakilisha vipi?
Akili za uchawa, udalali, upambe bila kuangalia mambo ya msingi ni hatari sana kwa mustakabali wa jamii na taifa kwa ujumla.
Samia ni Mtanganyika? wewe vipi?
 
Pagumu sana pale Mzee mwenzangu huyo jamaa alikuwa ni MD wa BOT mahali fulani alafu ni ofsa kipenyo utateseka sana ndugu yangu 😁😁😁
Sasa huyo ndo Bamkwe naemhitaji huenda napambana usiku na mchana kumbe riziki yangu ipo kwenye "Mjini msingi kiuno" kama kitenge
 
Uko sahihi anasaidiwa na polisi wa tanganyika! Mapolisi yanajisahahu kuwa watoto wao kesho hawatakuwa na pa kukaa!
Kiongo
Samia ni Mtanganyika? wewe vipi?
Sijaandika Samia ni mtanganyika.
Pili, baadhi ya matanganyika yanafanya ujinga wao , analaumiwa.
Urais ni taasisi na katika hiyo zaidi ya 90% ni watanganyika.
 
Back
Top Bottom