Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote.

7619B34C-21C3-4BA1-9CAF-185C2B313B6B.png
 
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
 
Kwa hiyo ndio mnalipiza kisa mliwekewa pingamizi, huu ujinga wenu unatia kinyaa.
Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
 
Back
Top Bottom