Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

mtafunaji wa taifa sliyekuwa amejificha kwa vazi la kondoo miaka mingi sana sasa anaamua kuvua gamba la kondoo taratibu nakuonekana undani wake......😀😀

ukiona vitu kama hivi ndani ya taifa lolote lile duniani basi jua kabisa siasa imeisha ,mwenye mpini kapata uhuru mpaka kanogewa na kajisahau kuwa hili ni Taifa na si nyumba ya familia......

miaka 20-40 ijayo panapo pumzi mtaelewa namaanisha nini.....
hii siasa yakutumia kivuri cha amani ni ya mpito ina mwisho wake😀😀😀
 
Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Kuna watu hua mnafikiria kwa makalio. It’s obvious kinachofanyika, sheria inawaruhusu pia kukukataa bila kukupa hata sababu (imeandikwa).

Sitoshangaa kama wanarudisha form nzima then mtu anaongeza ujinga kwa mkono wake, ishafanyika na itafanyika tena. Nchi ya machizi so hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom