Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Mazengwe ya CCM kama vile pemba Usalama wa Taifa wako bize kuwaengua maustazi wa ACT vita vikitokea ni Watanzania wenzetu watakaopoteza maisha
Yaani CCM lofindo tu
Kwa ujazaji wa fomu huu nani apite!! Mmebaki kujisifu humu tu JF mlipashwa kwenda mitaani kuwafunza watu wenu kujaza fomu kama kweli ni wasomi lakini maneno tuuuu. Angalia hii fomu ya Mwanasaccos alivyojaza!!
IMG-20200829-WA0038.jpg
 
Mazengwe ya CCM kama vile pemba Usalama wa Taifa wako bize kuwaengua maustazi wa ACT vita vikitokea ni Watanzania wenzetu watakaopoteza maisha
Yaani CCM lofindo tu
Maalim anapotosha watu tu. Amejua vipi kama ni usalama wa taifa? Kama wameonewa wanatakiwa wakate rufaa sio kuleta uchochezi.
 
Chadema wanapenda sana kujiliza na kugalagala Kama watoto
Savimbi angetueleza kwa nini ameenguliwa badala ya kukimbilia kulia mitandaoni
Kila la heri kwake na rufaa yake
Tumbotumbo inabidi arudi Igunga kulima mpunga.
 
Kwa hiyo ni CHADEMA pekee ambao wanapaswa kuwa pardoned na sheria?
Labda ubishi na mahaba yako kwa ccm vinakuposha msanii! Soma tena, nimesema; sote tupaswa kushika sheria! Hakuna aliye juu ya sheria, hata mgombea wenu, angepaswa ahukumiwe na sheria ile ile iliyo mhujumu Devotha Minja kule Moro, picha na kiwango cha picha! Tatizo lilopo siyo tu CHEDEMA kushindwa kuzijua na kuzifuata sheria, tatizo ni kwamba CCM wanapo fanya kosa hilo hilo, tume inawapotezea!! Lakini tatizo kubwa zaidi, ni pale ambapo, kunakuwa na makosa ya kutengenezwa na tume, kutekwa na polisi au green guards, takukuru, TISS na kadhalika! usawa hakuna, mnabaka sheria, alafu unafanya propaganda hapa kama kwamba Wewe ni kipofu, na hata ukiwa kipofu tambua tu kwamba hapa JF, wengi tuna macho, hakuna wa kumpotosha hapa!!
 
Back
Top Bottom