Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
Akiwekewa yeye anasema uhuni
 
Halafu ujue ACT ndo waliweka pingamizi juu Bon.

Wakiona kosa kwa nini wasikuambie, au basi unafuata mwanasheria wako anahakiki pia.
Haijalishi paka ana rangi gani mradi anakamata panya.

Hawakuambii kwa sababu hataki ushiriki. Aidha, makosa mengi sio makosa bali ni mapungufu ambayo yanaweza kusahihishwa kirahisi kama nia ni kulinda haki yako ya kugombea. Na kama Lissu alivyotuonyesha WOTE wanakosea.
Amandla...
 
Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
kwa hiyo na wewe unaamini ni wapinzanani pekee ndio wanakosea kujaza fomu?
 
Fuateni sheria enyi wajivuni
Kufuata sheria na katiba ya nchi ni jukumu letu sote! Tatizo mnajiona mpo juu ya sheria, lakini ungekua mwerevu ungekubali tu kwamba refa anayesimamia mchezo huu ni wa ccm!
 
Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Mh...!
 
Pingamizi awekewe na ACT lawama ziende kwa CCM, tukisema bavicha mmechanganyikiwa hata kabla ya kuugua mnakataa
 
Kufuata sheria na katiba ya nchi ni jukumu letu sote! Tatizo mnajiona mpo juu ya sheria, lakini ungekua mwerevu ungekubali tu kwamba refa anayesimamia mchezo huu ni wa ccm!
Kwa hiyo ni CHADEMA pekee ambao wanapaswa kuwa pardoned na sheria?
 
Kwanini kaenguliwa mkuu!? Chanzo cha kuenguliwa ni kipi!?
Chadema wanapenda sana kujiliza na kugalagala Kama watoto
Savimbi angetueleza kwa nini ameenguliwa badala ya kukimbilia kulia mitandaoni
Kila la heri kwake na rufaa yake
 
Tahadhari ilishatolewa mapema na Mimi nikaileta humu several times Jiwe katoa maelekezo wateule wake wapite bila kupingwa.
Kwa ujazaji wa fomu hivi atapita kweli?? Tarehe ya kuzaliwa ni 10/09/2020!! Eti wanaonewa!! Gumbalu kabisa!!
IMG-20200829-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom