Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mwaka 2015 aliyekuwa mgombea wa ccm kule Kasulu Kusini Daniel Nsanzugwanko alijaza formu kuwa alizaliwa tarehe 3/8/2015.Kama huyu
View attachment 1551841
Alipowekewa pingamizi hakuenguliwa kwa sababu kosa la kukosea tarehe ya kuzaliwa kama hilo siyo fatal kiasi hicho.
Reasonableness ya common man mtu mwenye siku tisa tu anaweza kugombea ?
Kumuengua mtu kwa kosa la namna hili siyo sawa hata kidogo.