Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Hii sio breaking news! Ila nimefurahi hilo lijamaa kuenguliwa, ni jinga sana hilo jamaa. Nimefurahi sanaa
Ujinga wake ni upi. Chuki zisizo na kichwa wala miguu. Uwezi na hutokaa ufikie alipo... Punguza roho mbaya.
 
Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!
Mkuu fomu zinajazwa kwa matakwa ya sheria ya tume ya uchaguzi,na sio kwa kufunika kombe mwanaharamu apite.Swala la kujiuza kwa nini,wabunge wa zamani wote,fomu zao ziko sawa?
Kwenye zile fomu unatakiwa ugonge muhuri wewe hugongi,unatakiwa uwe na picha,wewe huweki,kisheria fomu hiyo inakuwa haijakamilika,hivyo batili,na inatupiliwa mbali,kwa mtia kukosa fursa.
 
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Hakuna sheria ya uchaguzi ya tangu 1985 ni ya 2010
 
Boni shukuru umeepushwa na aibu ya uchaguzi maana ungeingia kwenye mchuano

my dia Blaza ungechana mkeka kama ile unayochanaga pale "meridian betting" shukuru sana

na utulie ujipange tena ubadilike in and out,ila hata ukikata rufaa n kazi bure na najua unajua kwann ume enguliwa.
 
Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Kwani hizo fomu zina ugumu gani hadi wakosee? Mwenye nazo aziweke hapa tuzione..
 
Atakua hajajaza fomu vizuri si nimesikia wagombea wengine wanaandika wamezaliwa mwaka huu
 
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Tuambie wa ccm hata diwani tu aliyeenguliwa, sasa wewe huoni huu ni uhuni, woga na kutokujiamini pamoja na kujidai kujenga madaraja?
 
Atakua hajajaza fomu vizuri si nimesikia wagombea wengine wanaandika wamezaliwa mwaka huu

Kama huyu
IMG_7723.jpg
 
Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Hayo Makosa madogo wanafanya Upinzani tu
 
Back
Top Bottom