Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Ila busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!

Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
Nani kaanza? Hakuna aliyemkamilifu mkajifanya nyie ndio mnajua kuliko tume sasa yamewageuka, Mmeyakoroga mtayanywa tu na bado [emoji2] [emoji2]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Tena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.

To be honest. Chadema hawako well organised.
Kabisaaa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Maaigizo toka juu.. lakini nafurahi kwa sababu huu udikteta toka 2015 umetufanya wananchi tuelewe haki zetu zinavyo kandamizwa..

Kuna watu hata makaburi yatawakataa kuwapokea kwa sababunya uovu..

Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
 
Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!
Magufuli nia yake ni kufuta kabisa upinzani ili nia yake ya kutawala mpaka kifo itimie. Hivyo lazima kuwa makini ili kumu Out Smart.
 
Mgombea wa ACT wazalendo alimuwekea pingamizi .Ndo hapo ujue hakuna ushirika kati ya CDM na ACT
 
Wenzenu CCM walitangaza na kutoa mafunzo kwa ofisi zote za matawi kuwasaidia wagombea wote kujaza fomu kwa ufasaha wakati huo nyinyi mko huku JAMIIFORUMS mkitangaza misafara ya lissu.

Sasa hii ni big LESSON
 
Huu msisitizo kwamba aliwekewa pingamizi na ACT WAZALENDO ni rubbish. Aliyekubali hiyo pingamizi ni Mkurugenzi aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM. Pingamizi dhidi ya wagombea wa CCM zimepigwa chini.

Ni uhuni kwa kwenda mbele. Record breaking electoral fraud. It stinks.
 
Huu uhuni unatosha sasa, hivi huyo Mwenyekiti wa Tume haoni aibu kuwaengua wagombea wa upinzani pekee?!


Wabongo shida sana tunabaki kulalamika kwenye mitandao siku ikisemwa ya maandamani wote kila mtu anabaki ndani kwake

Nani atatusaidia kifupi ccm itatawala miaka yote hatuwezi kusaidiwa kwa kweli tumekuwa waoga kupitiliza
 
Ila busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!

Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
Kwa hiyo sheria za uchaguzi zisiginwe ili kuruhusu hata wasiojua kusoma na kuandika wagombee?
 
Hakuna vita tanzania msijitie ujunga vichwani mwenu

Unaweza kuwa sahihi ,wanaweza wasilete fujo ikatumika mbinu nyingine simple kabisa na ikaleta athari.Usimdharau au kumpuuzia Mtu hata kama ana kimo sawa na Subwoofer.
 
Back
Top Bottom