Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Keyboard worrior
Maamuzi magumu ndio yanatakiwa sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi magumu ndio yanatakiwa sasa!!
Hakuna sababb bali ni kwa figisu, inda na roho mbaya tu ya John.Kwanini umeenguliwa?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
John kaufyata kwa hili beberu , Robert Amsterdam. John alisema ooh Lisu asirudi. Sasa karudi na anatamba mikoa yote na Chato ataenda.Hivi nyie watoto huyo dogo Robert ndio mnamtegemea dhidi ya maamuzi ya watanzania
Wanagawana majimbo bila kufanya uchunguzi yupi anafaa wapi? Hata kama amekidhi vigezo vyote, kweli Ubungo mkamuweke Jacob!? Mnatania nyie.kwani wananchi wa ubuno walimwambia wanampenda yeye jacob?
Kenya na Burundi je?Ni bora kinga kuliko tiba!Haki huimarisha taifa na kinyume chake!Hii ni tanzania na sio somalia sasa kama hata hilo hulijui kama hii ni tanzania basi huna ulijualo hakika
Robert Amsterdam anachemsha dawa ya ccm. Huyu John ataozea gerezani.
Maamuzi magumu ndio yanatakiwa sasa!!
Jiandani kushikana uchawi, huu ni uchaguzi sio ujinga mkuuKeyboard worrior
Ila huyu bwana ni mwoga sana..CCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao...
B.Jacob siyo mzoefu!!,Acha kujitekenya bibie
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?
Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Tunaambiwa mtu kaenguliwa bila kuambiwa sababu; inawezekana kaenguliwa kisheria au kaenguliwa kwa kuonea. Yote inategemea na sababu zilizotolewaKwanini kaenguliwa mkuu!? Chanzo cha kuenguliwa ni kipi!?
Kabisa mkuuMeya Boniface Jacob ni graduate wa sheria UDSM , huo ni muendelezo wa CCM Mpya ku-test uvumilivu wa wananchi wa kukinukisha au wataamua kususia uchaguzi.
Mpaka sasa CCM Mpya wanaombea wananchi wawe wapole wasusie uchaguzi na shughuli za kampeni za kisiasa ila wanahofu kubwa labda wananchi pamoja na wanachama wa vyama vya siasa wanaweza kukinukisha na ikawa nchi haitawaliki.
CCM Mpya bado wanaendelea kuangalia kwa makini hali ya kisiasa wakiona dalili hisia zinafikia zinaelekea kulipuka kukinukisha bila vyama kujitoa na wananchi barabarani Mkurugenzi Mkuu wa Uchaguzi Tume ya Taifa atapewa maelekezo kuzitupilia mbali pingamizi walizowekewa wapinzani na kuwarejesha kama wagombea halali.
Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!Tena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.
To be honest. Chadema hawako well organised.