Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magufuli fomu zake zilifanyiwa marekebisho usiku kucha na maofisa wa tume , mbona hakuenguliwa ?Kama wamekiuka kanuni, taratibu na sheria hamna namna
Weka ushahidi hapamagufuli fomu zake zilifanyiwa marekebisho usiku kucha na maofisa wa tume , mbona hakuenguliwa ?
Hata somalia walisema kama weweHakuna vita tanzania msijitie ujunga vichwani mwenu
Busara hutumika pasipo na SheriaIla busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!
Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
labda hujui wewe tuWeka ushahidi hapa
John aliambatanisha picha kabisa.Tusemeni ukweli penye ukweli.
Hii ni tanzania na sio somalia sasa kama hata hilo hulijui kama hii ni tanzania basi huna ulijualo hakikaHata somalia walisema kama wewe
Haya tukubaliane John anakandamiza demokrasia, CHADEMA inambadala gani wakati kuna ushahidi kuwa hakuna demokrasia ndani ya chama chenyewe!Hapana. Hii tabia chafu isiyo kidemokrasia ya kuenguana haikuwepo ktk awamu zilizopita. Muasisi wa ukandamizaji huu wa demokrasia ni John. Ndiyo maana analaumiwa Sana na anastahili lawama.
Wewe dada Victoire ni kada mtiifu. Ila kuna nyakati huwa unaficha rangi yako halisi.......Mimi siyo kada wa chama chochote. Sina mahaba na chama chochote cha siasa. Mimi huandika ukweli bila kuongonzwa na mahaba.
Hizo form zina nini ambacho wagombea wasioweza kuzijaza vizuri ni wa upinzani pekee ?Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
Huyu boni ni mjinga sana jamaa, nimefurahi sana kuenguliwa! Jamaa ana siasa za kizamani sanalabda hujui wewe tu
Du maskini Tanzania yangu nimechoka sana tunaelekea wapi?
Mnyarwanda mhutu huyu mkuu...... Wala majina hayo matatu ya mbele sio yakeDuuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?
Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Naona hata akikosea alama ya mkato anakatwa. 😂😂😂Hizo form zina nini ambacho wagombea wasioweza kuzijaza vizuri ni wa upinzani pekee ?
ACT ndo walimwekea pingamizi kumbe ??Yeye pia alimwekea pingamizi Kitila. Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu.IKUMBUKWE, ACT wameweka pingamizi TUME imemuengua.
Ccm inaingiaje kwenye kesi zenu wana UKAWA???
Yaani ukawa mtiane makonzi ,mkivimba mnailaumu ccm???