Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Huyo Mnaemlaumu sio mgombea 😲,?
 
Toka lini makosa ya ujazaji wa fomu ikawa sababu ya kumnyima mtu haki yake ya kuchagua ama kuchaguliwa?

Kama kweli aliwahi kukutwa na makosa ya ukwepaji wa kodi,au kufungwa kwa kosa la jinai au labda si rais wa Tanzania hapo ingekuwa kweli.
Kunyimwa haki ya kugombea kwa sababu tu kuna mtawala hakutaki basi hii nchi itakuwa imerudi utumwani

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Bila shaka imerudi utumwani tena kwa akili ya mtu mmoja tu kutoka hutu Land !
 
Hili la kuwekeana pingamizi mlilianzisha wenyewe. Viherehere vyenu mmewafumbua macho wenzenu wanawawekea pingamizi..act hao ndio walimpiga pini.
 
Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
Wapinzani pekee na wewe inaingia akilini?
Tanzania ni yetu sote mimi ni mtanzania naipenda siasa ya ccm toka enzi, lakini kwa kipindi hiki siasa yetu imekuwa chafu na isiyovutia . maana mpaka aibu! kizungumzia yanayoendelea
 
Kwa jibu hili nimegundua wewe ni kada mtiifu. Na unajitahidi sana kuwaondolea uhalali Chadema. Huna tofauti na Stroke, Jingalao etc.
Mimi siyo kada wa chama chochote. Sina mahaba na chama chochote cha siasa. Mimi huandika ukweli bila kuongonzwa na mahaba.
 
Du maskini Tanzania yangu nimechoka sana tunaelekea wapi?
 
CCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao...
Aliye juu wa vyote ni wa vyama vyote pia! Si Lissu alisema hatamuachia yule aliye juu ya vyote, mbona hafanyi chochote! Zilikuwa nguvu za soda? Au!
 
Wapinzani pekee na wewe inaingia akilini?
Tanzania ni yetu sote mimi ni mtanzania naipenda siasa ya ccm toka enzi, lakini kwa kipindi hiki siasa yetu imekuwa chafu na isiyovutia . maana mpaka aibu! kizungumzia yanayoendelea
Sasa kama mnajazia fomu vyumbani na kuzirudisha bila kushirikisha wataalam na wanasheria mnamlaunu nani?
 
Wapinzani pekee na wewe inaingia akilini?
Tanzania ni yetu sote mimi ni mtanzania naipenda siasa ya ccm toka enzi, lakini kwa kipindi hiki siasa yetu imekuwa chafu na isiyovutia . maana mpaka aibu! kizungumzia yanayoendelea
Ndo maana kama mpinzani unatakiwa utoe copy hata tatu za form ujaze kabla haujaijaza original,Maana kaa ukijua form yako itaangaliwa zaidi na watatafuta makosa kwa udi na uvumba. Hivyo inatakiwa umakini wa hali ya juu ili wakose kosa hata nusu.
 
Chadema nataka niwaambie jambo moja kuhusu wagombea wenu wa ubunge.

Wagombea wengi wa ubunge wa chadema na vyama vyenye ushawishi, wanauza majimbo yao kwa kulipwa pesa na wagombea wenye nguvu,

Hii nibaada ya kubaini kuwa nivigum kuishinda ccm kwa jisi ilivyotekeleza mambo mengi ya kimaendereo na kusaidia wanyonge, wengi wanafika bei kuanzia 5ml. Mpaka 50ml. Kulingana na nguvu ya mgombea wa chadema.
Wanachama wa chadema wanasema viongozi wanakula wao tu hulo juu rudhuku, misaada, pa1 na michango inayotolewa kwa chama.

Nadhani chadema km mgelalamikia wagombea wenu kununuliwa hilo watanzania wangewaelewa.
Lakini mkisema kuenguliwa kwa pingamizi mnamaanisha mnaouwezo wa kupinga ktk ngazi zte na kuweka ushahidi hadharani km yaliyotokea moshi na ushindi mlipata.
 
Back
Top Bottom