Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Acha kuamini pumba za Kigogo.Mbona kuna wagombea walipeleka passport size za watu wanakula mahindi barabara zikapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuamini pumba za Kigogo.Mbona kuna wagombea walipeleka passport size za watu wanakula mahindi barabara zikapita
Uzoefu gani walionao wagombea ubunge na udiwani wa Ccm ?!.Wala siyo degree bali inahitaji uzoefu. Angeenda hata kumuuliza Halima Mdee angemsaidia.
B.Jacob siyo mzoefu!!,Acha kujitekenya bibie
Sasa wewe unarudishaje form bila kupiga photocopy ya form uliyorudisha ?Unawaambia tu wakuonyeshe form unalinganisha na copy yako.
Mfumo unafutwa kwa kufuta wapinzani kwanza, nini hukielewi mkuu?Kama CCM inaogopa wapinzani, kwanini tu isifute mfumo wa vyama vingi ibaki yenyewe ikiranda Kama kunguru
Wamekosea wameenguliwa,Period.Nani anamuda wa kukusikiliza hayo maneno yako na utawapata wapi hao wankuwauliza hayo maneno unajuwa maana ya mkakati wa kushinda mezani Kwani utakwenda wapi kama wao ndo wamekuengua hiyo copy utathibitishaji kama ndiyo ya hiyo original wakati hazifanani
Kwa jibu hili nimegundua wewe ni kada mtiifu. Na unajitahidi sana kuwaondolea uhalali Chadema. Huna tofauti na Stroke, Jingalao etc.Nani analipiza kisasi ?Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Itoshe kusema CCM Ni chama zandiki na kinaogopa uchaguzi huru na haki nothing more!Sasa kujidai muelewa ndo huko kumewaponza.
Huna hoja nyumbufu,
JPM na akina ngosha wenzake Kumbe sio wa Tanzania [emoji1241] et,
Muulize Lissu uraia wake kwanza,
Alfu upime nanj mtanzania halisi
Aseme na sababu ya kuenguliwa sio kulialia tu
Wewe kina Kishoa, Minja, Kiwanga si wazoefu ?!. Labda unasumbuliwa mapenzi.Tulia wewe. CCM wengi wazoefu. Na wapya lazima waliuliza wenzao mahali ambapo walikuwa hawaelewi. Haya Baba watoto nikuulize kitu kwani kuna Mbunge yeyote mzoefu yaani anaengombea kipindi cha pili/tatu kaenguliwa ?
Ingieni mtaani mvunjwe viunoVita inalazimishwa kwa udi na uvumba
Huyo mama mbona siku nyingi Ni kada sema mwanzo alikuwa hana uhakika na nafasi ya uteuziKwa jibu hili nimegundua wewe ni kada mtiifu. Na unajitahidi sana kuwaondolea uhalali Chadema. Huna tofauti na Stroke, Jingalao etc.
Kama wao ndio hawakufuata masharti ulitaka iwaje? Waonewe huruma? Huwezi kumwonea huruma nyani utakula mabua.Huu uhuni unatosha sasa, hivi huyo Mwenyekiti wa Tume haoni aibu kuwaengua wagombea wa upinzani pekee?!
Mimi nlifikiri leo watu mngekuwa tayari mnaandamana, maana Lisu wenu aliwaambia hivyo janaSiyo kila ujinga umtetee Msukuma mwenzio. Subiri tuanze maandamano Nchi nzima ndio utajua huyo huyo msukuma mwenzio ameiingiza Nchi pabaya. Nitaandamana mwanzo mwisho hadi wagombea wote warudishwe na NEC Iundwe upya.
Hata John alikosea picha ya kuambatanisha lakini hakuwajibishwa.Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?