Jibu hoja za pingamizi siyo blablaDuuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?
Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja za pingamizi siyo blablaDuuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?
Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Hopeless kabisa!!Sasa chadema inaanza kuandamana nchi nzima. Wakiwagusa waraka wa kukamatwa John unatolewa
Ramli chonganishi hizo za makada kadhaa hapa. Eti fitina za Kubenea ambaye hata hagombei ubunge Ubungo.... Pamoja na kuwa majibu ya Abdul Nondo na Zitto Kabwe kuhusu hili pingamizi yalikuwa ya hovyo sana.....Chadema na ACT wanatakiwa kuwa makini sababu hili linaweza kuondoa ushirikiano wa hivi vyama.....na wakishapoteana (wasiwe na mkakati wa pamoja) watapigwa kipigo cha mbwa koko.....Huu msisitizo kwamba aliwekewa pingamizi na ACT WAZALENDO ni rubbish. Aliyekubali hiyo pingamizi ni Mkurugenzi aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM. Pingamizi dhidi ya wagombea wa CCM zimepigwa chini.
Ni uhuni kwa kwenda mbele. Record breaking electoral fraud. It stinks.
Hakuna cha machafuko wala nini!!Yaani CCM na tume yao hawatuonei huruma wapiga kura na wananchi kwa ujumla. Wameamua kwa makusudi kuisukuma nchi hii kuelekea kwenye machafuko. Haya, acha tuzame. Mungu anawaona.
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?
Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Unataka kuingia barabarani kufanya vurugu kwa sababu tu huyo mgombea kaenguliwa? Hivi akichaguliwa wewe Erythrocyte na familia yako mtaongezewa mkate mezani? Au ukiumia katika vurugu hizo, atakuja kukupa tiba wakati hata fedha ya kampeni CHADEMA hawana. Huo ni upumbavu na ulofa kama siyo ufala.Hata somalia walisema kama wewe
Wishful thinking. Unadhani hata wakiona kosa watakuambia?Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Yuliwaambia mapema mumkatae huyu msimamizi wa uchaguzi mkaona hatuna akili. Hata walio baki hawata tangazwa.
Aisee hawa watu uhuni wao ni overrated sasa
Halafu ujue ACT ndo waliweka pingamizi juu Bon.Wishful thinking. Unadhani hata wakiona kosa watakuambia?
Amandla...
Wakati si mileleCCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao.
Hajui kusoma na kuandika vizuriSababu za kuenguliwa ni nini? Leta habari iliyokamilika sio kuwahi kuleta vitu nusunusu.
Amani itaendelea kuwepo tu! Ila mkileta cha kuleta watz watawathibiti tu.Mgombea ubunge jimbo la ubungo ndugu Boniface amepokea barua ya kuenguliwa kwake katika kinyang'anyiro hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October.
Amesema kuwa atakata rufaaa kupinga huu upuuzi unao fanywa na wasimamizi wa uchaguzi.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ustawi wa amani ya nchi yetu iliyo itwa kisiwa cha amani. View attachment 1551818
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikosea mgombea wa CHADEMA kisha akaenguliwakwa sheria aliyosaini kuikubali ni kuvuruga amani ya nchi?Mgombea ubunge jimbo la ubungo ndugu Boniface amepokea barua ya kuenguliwa kwake katika kinyang'anyiro hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October.
Amesema kuwa atakata rufaaa kupinga huu upuuzi unao fanywa na wasimamizi wa uchaguzi.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ustawi wa amani ya nchi yetu iliyo itwa kisiwa cha amani. View attachment 1551818
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyekosea sheria na kanuni za uchaguziHatujasikia mwana CCM hata mmoja aliye enguliwa, kwamba wao wanazijua sana sheria kuliko vyama vingine. Ngoja tuone tunakoelekea.